husika na kicha cha habari, sehem gan kwa daslam naweza kupata chumba au vyumba viwili (chumba na sebule) kwa gharama ya kawaida kwa chumba (70tzsh na kushuka) , usafiri usio na usumbufu saana na if possible pawe gari moja to posta au mnazi mmoja,.. sio lazima pawe karibu sana kama magomeni au kinondoni but pia pasiwe mbali saana kama mbezi mwisho au bunju... kwa wenye uzoefu wa mitaa kama kurasini , tabata , mwenge n.k nipe details pliiz!!!