Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza brand new remote controler ya AC aina ya Gree. Iko pc moja na ni mpya kabisa. Bei Tsh 40,000/= Napatikana Dar es salaam Mkoani nakutumia kwa bus (utalipa gharama za usafiri) Mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje. Kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NATAFUTA MASHINE YA KUZALISHIA ICE CREAM IWE NI MPYA AU USED POPOTE NITAIFUTA..NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWENU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Husika na kichwa hapo Juu ninauza blender mpya kabisa aina ya Kenwood zenye uwezo wa kufanya kazi nzito yaani zinafanya kazi zote za kusaga vitu vikavu na vilaini inasaga Hadi unga yaani nafaka za...
1 Reactions
58 Replies
17K Views
Habari wakuu Ninauza Raba nzuri Sana mtumba Grade A tunapatikana Mwanza Nyegezi ila Popote tunatuma na pia tunauza Jumla na reja reja Jumla kuanzia PC 10 sh 14,000 hii Ni flat rate bila kujali...
2 Reactions
109 Replies
17K Views
Wadau wa JF Je unatarajia usafir kwenda Johannesburg iku za hivi karibuni na utahitaji Taxi (Usafiri), tuna magari ya kubeba abiria kuanzia 3 mpaka 32.Ofisi zetuzpo OR Tambo International Airport...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Eneo: kiluvya makurunge umbali km 8 kutoka barabara kuu ya morogoro road Bei nikuanzia shillingi 1,500,000 Malipo 1.Unaweza lipa yote kwa awamu moja 2.Unaweza lipa kidogo kidogo ndani ya miezi 3...
0 Reactions
49 Replies
12K Views
Natafuta
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shamba hili lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na kibululu primary school (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo. Kuna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji Kitanda kipyaaa 5*6 kwa laki moja tu njoo tuzungumze kwa 0752092377 Napatikana Iringa Mjini
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Nipo katika soko la nguo nlikuwa nauza jeans spesho lakini kwa sasa nahita kuuza mitumba. Point yangu ni kwamba naombeni msaada wenu wakuu mniongoze ni wapi ntapata chimbo zuri la jeans na tshirt...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nzima Ni ya kuwasha na kupeleka site Ipo Dar es salaam Engine ni lister petter 5.5m 0768048752
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Greetings JF massive. Ni tumaini langu upo vizuri unaendelea na mishe zako zakutengeneza pesa ili kusukuma gurudumu la maisha. Kwa wale ambao hawapo vizuri msihofu mtapata nguvu tena na...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari! Zanzibar Kuna eneo zuri saana coast view plot linauzwa kwa haraka. In case Kama unataka kujenga apartment za watalii, restaurant, Bar, hotel e.t.c hata nyumba yako pia sawa tu. Kiwanja...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Wewe ni mkulima? Unafanya grafting? Unataka kukuzia na kuhifadhia miche? Basi Agroceron ndio wakala Tanzania anayejua hitaji la SEEDLING TRAYS kwa ajili ya kukuzia, kuhifadhia miche kwa ajili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello ndugu wadau. Naomba kufahamishwa duka gani hapa Dar, naweza pata mashine za kampuni ya foss za kupima grains nutrients.
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom