Juniorlikukwa
Member
- Aug 24, 2016
- 14
- 10
Nipo katika soko la nguo nlikuwa nauza jeans spesho lakini kwa sasa nahita kuuza mitumba.
Point yangu ni kwamba naombeni msaada wenu wakuu mniongoze ni wapi ntapata chimbo zuri la jeans na tshirt za mtumba hapa DSM?
Nataka nikalenge kuchukua ballo zima hapana nataka wanapolenga especially jeanses za kiume msaada wakuu