Nahitaji sehemu nzuri ya kuhamishia stationary

Nahitaji sehemu nzuri ya kuhamishia stationary

drmaxmhozya

Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
51
Reaction score
48
Nahitaji nipate sehemu nzuri ya kuweka steshenari kama kuna mtu atakuwa anafahamu location nzuri affordable anisaidie ili niweze kuhamisha ofisi yangu
 
Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali.

Uko mkoa gani?

Ofa yako shi ngap kama kodi?

Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu?
 
Niko dsm nahitaji garama ianzie sh 60 hadi 80 yani isizidi Sana hapo nahitaji niwekeze vizuri eneo la awali nililopanga nahitaji nihame
 
Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM.
 
Biashara ya Stationary ukipata Maeneo ya Mabibo Hostel au Survey itakufaa sana kwa ajili ya uwepo wa Wanafunzi wa UDSM.
Aaah sawa mabibo hosteli sindiyo brother kwa pale location zinapatikana Sana
 
Muwe mnajieleza vzr kupunguza maswali.

Uko mkoa gani?

Ofa yako shi ngap kama kodi?

Jf mbona siku hizi ina watu hawapendi kujielez kwa kirefu?
Niko dsm dada ofa yangu Mimi ni kuanzia 60 mpaka 80 isizidi hapo mana ndo naanza
 
Twende savey mkuu tukapambane 0628731833
 
Back
Top Bottom