Natafuta ofisi Mwenge, bajeti laki 2/mwezi

Natafuta ofisi Mwenge, bajeti laki 2/mwezi

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
883
Reaction score
1,432
habari zenu wadau wa JF.
kama kichwa cha habari, natafuta office ya kupanga eneo kuanzia kivulini mpaka roundabout ya Mwenge. Office yaweza kuwa ground flow au hata gorofani.

Nb: office iwe karibu na barabara kuu ya ubungo-Mwenge.
Bajeti yangu laki 2 kwa mwezi.
Kama unayo njoo PM faster tuyajenge
 
Back
Top Bottom