drmaxmhozya
Member
- Aug 7, 2020
- 51
- 48
Nahitaji kupata mwanga kuhusiana na biashara ya vifaa used vya mtumba vya electronic ni biashara ambayo pia navitiwa nayo Sana nahitaji niweze kuifanya hata nikianza na kidogo nione mana changamoto hazikwepeki zipo sehemu yoyote nahitaji niifahamu vizuri biashara hiyo kama kuna mtu anaweza nipa connection anisaidie.
HAPA KAZI
HAPA KAZI