Nina milioni mbili tu. Natafuta kiwanja Msalato au Veyula, Dodoma

MANIAJE

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
244
461
Wanabodi habari...

Kichwa Cha habari chahusika

Nina milion 2 tu natafuta kiwanja Dodoma eneo la Msalato au Veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu.

Asanteni
 
Umeme upo. Km 3 hivi toka barabara ya lami kuna huge potential kwani kiwanja cha ndege kitajengwa maeneo hayo. Naweza kukuuzia mpaka heka 1. Mimi ni owner.
Utamuuzia eka kwa 2m???
 
Mkuu ninacho na kinakizi mahitaji yako yote kama upo serious tuwasiliane 0621048817 kiwanja kimepimwa kabisa wala siyo chakukadiria
Wanabodi habari...

Kichwa Cha habari chahusika

Nina milion 2 tu natafuta kiwanja Dodoma eneo la Msalato au Veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha hata ikiwa km 3 sio mbaya ilimradi maji na umeme viwe karibu.

Asanteni
 
Wagenin wa dodoma sijui mnawazaga nin kwenye kununua viwanja cjui but kuna sehemu nying viwanja vipo ni kalibu mno na mjini ukiachilia mbali vyeyula why isiwe nkuhungu mtube why isiwe michese why isiwe ndachi pote huko kupo vizur na viwanja vinapatikana umeuziwa bei kubwa sana 6m uzur kwann nasema hv ni ukalibu kufika city center tofauti na huko veyula au msalato bila usafil private sahau kuwah shughul zako
 
Mkuu....
Asante kwa kuniitia mchongo, lakini bahati mbaya sana nilisha staafu hii kazi.
Haa😂😁😀🤣😃😄😅😅🤣😂😁😃😄😅
Awamu Hii Hapa Kazi Tu
Hakuna Kustaafu
Ila Dodoma Acha Tu Tuone
Jiji La Kisiasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom