Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,633
- 6,563
Nina mahitaji ya haraka ya folding table au meza za kujikunja kama hii hapa kwenye picha. Zinapatikana wapi hapa Dar es Salaam?
Meza kama hii unaweza kunja miguu yake na hata zingine unaweza kuzikunja mara mbili. Tena hii unayoweza kuikunja mara mbili ndiyo hasa naitaka. Hii inasaidia katika ubebaji na usafirishaji wake.