Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA. Ashe Creation Company Limited...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habar zenu Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Msaada jamani, simu yangu samsung A70 imevunjika kioo cha camera naweza pata wapi hicho kioo??? Naomba msaada wenu wadau kama ni dukani au ni used sawa tu
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, bila shaka mko safi. kama hampo shwari, basi pokeni salamu zanhu za pole. Ningependa mnihabarishe juu gharama za kutangaza biashara kwenye radio na magazeti na utaratibu mzima...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Habari WajaJF Husika na kichwa cha habari pale juu Sifa ya chumba _______________ 1. Kiwe katika hali nzuri tu ya kuweza kuishi MTU 2.Kiwe na umeme 3.Kiwe na Maji 4. Kiwe nawapangaji...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari....?.. Karibuni mjipatie mashuka yenye ubora kutoka Mohamed Interprises kwa gharama nafuu... material ni pamba SIZE 4/6 bundle 6 set 30. price 240,000/= SIZE 5/6 bundle...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU" (*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *) (1) Tunao...
5 Reactions
17 Replies
7K Views
Ndugu Wana jamii forum Kama kichwa Cha habari hapo juu chumba kipo magomeni kata ya Makurumla mtaa wa mianzini chumba kina Hali nzuri Sana rangi,siling board na umeme maji yapo nje kinapangishwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inapima AC/DC ampere, Frequency,capacitance,voltage. Bei ni laki 2 tu. pm kwa anayehitaji.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo Kuna mdogo wangu Ni mwaka wa KWANZA kwa hiyo nilikuwa nauliza Room ya kupanga Maeneo ya Mwananyamala hapo kiwe kwenye Fensi , Maji na umeme viwepo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima. Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mashine ya popcorn inauzwa imetumika miexi mi3 tuu bei 250k (fixed) 0652989359. imetumika miezi mi3 tuu bei 250k (fixed) 0652989359
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, nauza gari yangu Rav 4 Kill time, iko kwenye hali nzuri na unaweza kuiona wakati wowote. Kwa mawasiliano nichek 0713339910 (wanaohitaji kweli) Manufactured - 2000 Engine size 1998 5...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Haya material ni punje zilizotokana na mawe yaliyo sangwa, kwakweli inapendeza, itakuondoa katika hali ya kupaka rangi jengo lako miaka hadi miaka. Inadumu sana, inafaa ndani na nje. Hapa...
12 Reactions
668 Replies
214K Views
Kichwa cha habari chahusika Wakuu humu wanaofanya udalali Naomba kupatiwa chumba chenye hali nzuri kinachofikika na usafiri chenye huduma zote na usalama maeneo tajwa. Nicheki kwa SMS or...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zanguni, Natafuta body ya nissan patrol y62(2006) na dashboard yake Hata nikipata bei elekezi utakuwa ni msaada mkubwa pia. Marekebisho.. Leo nilienda kuicheki gari yenyewe, aliyeniambia...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya karibu na chuo cha NIT Contact:0752195525
0 Reactions
4 Replies
585 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…