Gharama za matangazo ya biashara kwenye radio na magazeti

Mgoda simtwange

Senior Member
Sep 7, 2012
168
64
Wadau habari zenu, bila shaka mko safi. kama hampo shwari, basi pokeni salamu zanhu za pole.
Ningependa mnihabarishe juu gharama za kutangaza biashara kwenye radio na magazeti na utaratibu mzima wa kutangaza biashara kupita vyombo hivi ukoje? Yaan Nahitaji kujua gharama kwa tangazo moja ni sh ngapi? kgezo cha bei ya tangazo ni nini? Je tangazo langu nitatangazwa kwa mfululizo wa kipindi gani yaani wiki, miezi au mwaka? na mara ngapi kwa saa, siku, wiki, mwezi etc
 
Gharama za matangazo ya biashara hutegemea na ukubwa/umaarufu wa redio husika

Kwa mfano, gharama za matangazo clouds fm haziwez kuwa sawa na radio mashujaa ya Lindi.

Pia, gharama za matangazo hutegemeana na ukubwa wa Tangazo na mida utakaotumika kulitangaza.

Nakushauri uende ktk kituo cha redio husika ili kupata mchanganuo.
 
Noted mkuu. Ngoja niangalie possibility
 
Gharama za matangazo ya biashara hutegemea na ukubwa/umaarufu wa redio husika

Kwa mfano, gharama za matangazo clouds fm haziwez kuwa sawa na radio mashujaa ya Lindi.

Pia, gharama za matangazo hutegemeana na ukubwa wa Tangazo na mida utakaotumika kulitangaza.

Nakushauri uende ktk kituo cha redio husika ili kupata mchanganuo.
Tatizo letu Tanzania akienda ataulizwa kwani wewe umejipangaje. Swali la wewe umejipangaje silipendi hata kidogo, ili neno nikilisikia kwa mfanyabihashara yoyote uwa sifanyi nae bihashara, maaana najua huyu anataka anikomoe, kwa sababu hataridhika na pesa ninayomwambia
 
Back
Top Bottom