Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kampuni ndogo inatafuta ofisi ya kupanga. Iwe maeneo mazuri kama vile mikocheni, kinondoni, magomeni, Sinza, Mwenge, n.k. Bajeti mwisho laki 5 kwa mwezi. Huduma muhimu ziwepo. Pm kama unayo.
1 Reactions
1 Replies
725 Views
Kama unarafiki au ndugu ambaye sauti yake inafaa kufanya mambo ya entertainment , Na utangazaji tuwasiliane kazi itakuwa ni YouTube, online channel Maswala ya posho yatafanyika Sent using...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama unahitaji nyumba maeneo hayo ya chumba au nyumba ya kuanzia chumba na sebule au kuanzia vyumba viwili na kuendelea usisite kunitafuta, maeneo ni hayo ya Mwenge, Kinondoni, Sinza, Kijitonyama...
6 Reactions
891 Replies
176K Views
Habari ya wakti huu wakuu, Naomba kujulishwa machimbo ya bei nafuu ya spare parts za pikipiki zote BM&GN. Asante.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Saa aina ya seiko inauzwa Tsh 250,000 /= Sifa za saa 1: Haipauki. 2: Hairuhusu kuingia kwa maji. 3: Inadumu muda mrefu. 4: Automatic mechanism, kwa maana ya kwamba haitumii betri. 5...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
-ina vyumba 3 kimoja master ,sebule,dinning hall,jiko,stoo na public toilet -Kiwanja kina ukubwa wa 30 kwa 25 (750sqm) -pamepimwa lakini hapana hati - Umeme na maji vyote vipo. -Ukuta...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Nina mizigo yangu michache ambayo nahitaji kuisafirisha kutoka DSM kwenda mjini Bujumbura Burundi. Kutokana na mabasi kusitisha huduma kwa sasa za safari kwenda huko nilikuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kubwa ni west Point. Bei 400k La kati ni LG Bei ni 350k Dogo ni 150k Location Ubungo stendi ya mkoa Karibuni 0743123946
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, inahitajika kontena ya futi 20. Milioni 2 ipo kwenye mfuko wa shati sasa hivi hapa. Nicheki 0743123946.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa uhitajia wa kununua au kukodisha mitambo ya ujenzi kama excavators. Bulldozers. Wheelloder. Graders .roller etc usikute kwasiliana nasi 0710707245
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibu ujipatie magodoro kampuni la GSM na offa ya usafiri bure ndani ya Dar tupigie 0763542515 tukuletee bure hadi kwako Tupo kawe Inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu Inchi 6 5*6 unalipata kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ram 4gb HDD 500gb Core i5 Iwe slim Laptop Iwe inahifadhi moto zaidi ya masaa mawili Nalipa 400k
0 Reactions
4 Replies
656 Views
Habari Wakuu, Naomba mnijuze bei ya Pikipiki aina ya Boxer mpya na ni wapi naweza kupata wanapouza.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama unatanki limekaa alifanyi kazi naitaji matanki kwanzia 2000lita mpaka 10000lita ni kwajili yakuifadhi maji. Na vizuri uwe Morogoro mjini kuhusu gharama na...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Nauza Iphone x ulotumika ila kama mpya haina michubuko wala mpasuko wowote haina kipengele wala matawi Fingerprint [emoji818] Betry health 100[emoji818] Storage 256 Software version 14.5 Bei•...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida. Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hawa watu wapo serious sana Wameamua kushusha zaidi vifurushi vyao kutoka 10000 kwa mwezi hadi 8000 kwa mwezi channel zaidi ya 55 Pure kutoka 18000 hadi 13000 kwa mwezi Channel zaidi ya 60 Plus...
14 Reactions
106 Replies
16K Views
Habari zenu! Nauza laptop yenye sifa hizi: 1. Aina: hp elitebook 2. Processor: intel (R) Core (TM) i5-3337 CPU@1.8GHz 3. RAM: 6.00GB, HDD 500GB, Folio 9470m 4. System type: 64-bit 5. Rangi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jamii, natafuta vimini(sofa za mkeka) zinapatikana wapi. na bei zao ni zipi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom