Natafuta chumba cha kupanga

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
4,751
5,224
Habar zenu
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self kwa bei ya 50-60
 
Habar zenu natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA dar kurasini-uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self kwa bei ya 50-60
Jamani mbona kimya maana wengi twahitaji majibu yenu
 
njoo kuna rumu inahitaji 60*6.
single maji yapo choo umeme fresh
ukitaka ni PM, kiko petro station pale.
 
Duh ata mie muhanga wa ili natafuta chumba maeneo ya kuanzia mtongan mpaka kwa Azizi Ally isizidi ELFU 40 kiwe na maji na umeme na kisiwe mbali na Barabara kuu
 
Ila kama unahitaji kwel nikuunganishe na mtu fasta
 
Duh ata mie muhanga wa ili natafuta chumba maeneo ya kuanzia mtongan mpaka kwa Azizi Ally isizidi ELFU 40 kiwe na maji na umeme na kisiwe mbali na Barabara kuu
Hiyo bei niliwahi kulipa kwa Azizi Ally mwaka 2009 tena ilikuwa unfinished house!! Zaidi ya umeme na choo cha kuchangia, maji kwa jirani!!

Hiyo mitaa, hususani kwa Azizi bei ya vyumba siku hizi ipo juu kutokana na ukaribu wake na TIA pamoja na DUCE na hivyo demand kuongezeka. Na kutokana na fagia fagia ya Kurasini, nadhani hata Tumaini Kurasini Campus nao sitashangaa nikisikia wapo wanaokaa kwa Aziz!!
 
Back
Top Bottom