GREAT VISIONAIRE
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 365
- 453
Mimi sio fundi ila hata Mimi nimeshangazwa na hiyo bei, huenda kuna special function ambazo hizo za uswazi Hamna.!!Multimiter uswahilini tunanunua hadi elfu 40. sijui zinatoka wapi hizi lakini vyombo tunavirekebisha kama kawa
Achana na hizo fluke mkuu...mashine matata sana hizo...bei ya chini 200..kuna moja ni 300 na kitu...Multimiter uswahilini tunanunua hadi elfu 40. sijui zinatoka wapi hizi lakini vyombo tunavirekebisha kama kawa
Kiongozi mita hizi zina kitu gani cha ziada?Achana na hizo fluke mkuu...mashine matata sana hizo...bei ya chini 200..kuna moja ni 300 na kitu...
Kiongozi mita hizi zina kitu gani cha ziada?
Amina jombaammarekani uyo
nishawai kuitumia hii mita kitambo kiwanda flani ivi na ndo ilikua mara yangu ya kwanza kuijua, ilikua kuukuu sana kumuuliza kamanda anasema 'ina umri wako hii'
So nna uzoefu nayo
1. umri mrefu, hii ngoma ukinunua unakufa unaiacha, izi za kawaida kwa mfano: wataka pima voltage, ila bahati mbaya uka tune kwa 'resistance' , kama ni mita ya 3000 kanunue nyingine tu maana itafuka moshi
-building components za ndani za hii meter ni za ubora wa juu
2. usahihi ( accuracy na precision ), hasa katika upimaji wa voltage/current ndogo mno mfano: 5mV au 5mA, hii ngoma ina usahihi wa hali juu kabisa! sahau kuhusu errors/deviations, hii ngoma inaweza pima mpaka mV ndogo kabisa na ikakupa decimal points kwa usahihi mf: 5.8763mV ( higher precision )
3. hamna hysteresis , hysteresis inatokea unapima voltage au current then reading inaanza kuchezacheza so inabidi usubiri ikae stable, kama unapima capacitance inabidi usubiri sanaa mpaka sek 30 ivi kwa baadhi ya mita za bei ya chini, ila kwa hii sahau! SAHAU
4. auto range, huna haja ya ku select range nyingi nyingi , kuna baadhi ya mita za bei rahisi unakuta ina range selections mpaka 8 mf: 0-10V, 10-20V, 20-30V kwa maana uki chagua range ya 10-20V ila system inatoa 100V, ushaichoma mita!
5. usahihi wa vipimo kwenye non- linear loads, apa nazungumzia wale wanao repair non-linear loads kama printer, scanner , photocopier, ni vifaa ambavyo hutoa 'content' nyingi sana za 'harmonics', mita za kawaida hazipimi umeme wenye harmonics kwa usahihi, hii ngoma ni suluhu!
IZO NI BAADHI TU
Safi sana.mmarekani uyo