Ng'ombe bora wa maziwa wanauzwa

KIUNGAY

New Member
Nov 2, 2020
2
45
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"
(*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *)

(1) Tunao mitamba ambao awajapandwa ila waweza pandwa mda wowote bei ni kuanzia Tsh 1800000 adi 2000000 inategemea na mtamba wenyewe
(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) adi miezi sita (6) ni Tsh2000000 adi 2500000

(3) PIA tunao ng'ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng'ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 2300000 adi 2600000

(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 750000 adi 850000

KAMA KAMPUNI GARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA KIWANGO NA MTEJA KUTEGEMEA NA ENEO ALILOPO KARIBU SANA UPATE NG'OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI

wasiliana nasi kwa simu namba
0759926750
FB_IMG_1604497318442.jpg
FB_IMG_1604497282270.jpg
FB_IMG_1604497278822.jpg
FB_IMG_1604497221680.jpg
FB_IMG_1604497271005.jpg
FB_IMG_1604497370866.jpg
FB_IMG_1604497318442.jpg
 
KIUNGAY

New Member
Nov 2, 2020
2
45
"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"
(*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *)

(1) Tunao mitamba ambao awajapandwa ila waweza pandwa mda wowote bei ni kuanzia Tsh 1800000 adi 2000000 inategemea na mtamba wenyewe
(2) Pia mtamba mwenye mimba kuanzia miezi mitatu (3) adi miezi sita (6) ni Tsh2000000 adi 2500000

(3) PIA tunao ng'ombe walio zaa mara moja mara mbili na mara tatu ambao wanakamuliwa maziwa kuanizia liter 16 adi 22 inategemea na ng'ombe mwenyewe bei zao ni kuanizia Tsh 2300000 adi 2600000

(4) Na pia kwa wale wanao itaji ndama madume pamoja na majike wanapatikana kuanzia umri wa miezi minne adi sita kwa bei kuanzia Tsh 750000 adi 850000

KAMA KAMPUNI GARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA KIWANGO NA MTEJA KUTEGEMEA NA ENEO ALILOPO KARIBU SANA UPATE NG'OMBE WAZURI KWA UZALISHAJI

wasiliana nasi kwa simu namba
0759926750

FB_IMG_1602953502209.jpg
 
Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,054
2,000
Hicho kiwele hatarii ...
Ngombe wazuri na Wana afya .
Je ukiwaleta kwenye joto la dar wataendelea kutoa maziwa kiasi hicho hicho ?
 
MKAKA HALISI

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
285
500
Lita 22 asubuhi na jioni
Au 22 asubuhi Tu na jioni 22 tena?
Ni nacho kijua mm ni kwamba kuna Ng'ombe wanaweza kutoa 22lts asubuhi na jioni 20lts japo huwa ktk risk sana maana huwa wanahitaji matunzo ya hali ya juu sana
 
Ototo

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
1,023
2,000
Tatizo kwa hali ya hewa ya Dar, sidhani kama hao ng'ombe watatoa maziwa kama inavyotakiwa
 
Siasa mbaya sana

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
488
500
nyiyi kwanini mnaziuza wakati inaonekana wanalipa sana?

alafu kwa mfano nikawanunua alafu wasitoe kiwango hicho cha maziwa inakuaje ninaweza kuwarudisha na kurudishiwa pesa yangu?
je,inawezekana kuweka order ya mtamba unaokaribia kuzaa ili uzalie hapohapo kwenu ili niweze kuhakikisha unatoa maziwa kiasi hicho?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom