Wapi nitapata kioo cha kamera cha Samsung A70?

Wapi nitapata kioo cha kamera cha Samsung A70?

Joined
May 15, 2016
Posts
47
Reaction score
14
Msaada jamani, simu yangu samsung A70 imevunjika kioo cha camera naweza pata wapi hicho kioo???

Naomba msaada wenu wadau kama ni dukani au ni used sawa tu
 
Kama uko dar es salaam nenda Egetii nyuma ya jengo la sayansi pale
 
Kariakoo aggrey street vinapatikana ila bei yake imechangamka kidogo, nakushauri nunua kioo chenye housing kabisa, kinachofanyika ni kutoa motherboard ya huko na kufunga kwenye kioo kipya. Ila ujipange na mia mbili hadi mia tatu.
 
Tsh ngap!
Mm siuzi mkuu ila najua chocho moja ipo pale ndani makoroboi ni duka la vifaa vya simu hasa vioo na display za simu...nilifahamu baada ya fundi kwenda kunitestia kioo cha simu yangu...nikawa nawapeleka watu hasa wanafunzi hapa chuoni kwenda kubadili vioo maana wale jamaa washanizoea pale
 
Nipo mwanza
Nikipanda town nitakuulizia bei...ila ujipange display za samsung sio poa...yani display ni wanaeka complete.display ikiwa pamoja na kioo chake.mm s6 edge display ni 250000...niliamua kuachana nayo tu. Kuna samsung j5 pro ilikuwa 150000. Kwahyo utaona hapo display zake zilivo juu
 
Back
Top Bottom