Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwananyamala

Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwananyamala

MADABACHU

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2020
Posts
325
Reaction score
379
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo Kuna mdogo wangu Ni mwaka wa KWANZA kwa hiyo nilikuwa nauliza Room ya kupanga Maeneo ya Mwananyamala hapo kiwe kwenye Fensi , Maji na umeme viwepo ,Nawasilisha.
 
Kwa nini akae Mwananyamala? Kwani anasoma chuo gani?
 
Kwa nini akae Mwananyamala? Kwani anasoma chuo gani?
Yeye anasoma Tumaini Ila anataka akae na ndugu yetu mwingne ambaye anasoma IFM kwa hiyo itakuwa rahisi kila mtu kwenda chuo chake kwa sababu pale ni katikati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom