Natafuta body na dashboard ya nissan patrol y62

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
28,182
81,112
Mkuu unatafuta body ya Nissan Patrol Y62. Hizo kwanza zipo chache sana hapa Bongo kupata body itabidi ukacheki Tunduma zilizotoka Zambia au Arusha.
Kwa Dar inabidi ucheki na watu wa Ilala wale ambao wanaleta body used kutoka Dubai.

Y62 katika pitapita zangu zijawahi kuiona hapa Bongo imetaga au imetelekezwa, hata Kwa wazee wa Tandale sijaiona hata iliyopata ajali ikapelekwa kuchinjwa.
 
Full kukatishana tamaa 😅😅😅, ila on a serious note, hilo gari body yake hapati hapa bongo,
 
Mkuu huo ndo ukweli Y62 hapa Tanzania zipo chache, ila akitumia watu wanaofata magari ya Spare Msumbiji,Malawi au Zambia watamtafutia hiyo body Kwa urahisi.
Ndio maana hili suala nikalitupia humu. Najua si rahisi kupata, ila ninaweza kubahatisha connection ya watu kama hao humu, hatimae nikafanikiwa.
 
Mkuu unatafuta body ya Nissan Patrol Y62. Hizo kwanza zipo chache sana hapa Bongo kupata body itabidi ukacheki Tunduma zilizotoka Zambia au Arusha.
Kwa Dar inabidi ucheki na watu wa Ilala wale ambao wanaleta body used kutoka Dubai.

Y62 katika pitapita zangu zijawahi kuiona hapa Bongo imetaga au imetelekezwa, hata Kwa wazee wa Tandale sijaiona hata iliyopata ajali ikapelekwa kuchinjwa.
Ipo moja sehemu, muhindi mmoja kaipaki uwani, body imechoka saana, ila engine bado supa.

Namba A sijui alinunua 0 km yule. Gari ya mwaka 2006 ile, ukitekenya gari tamu kweli kweli.
 
Ndio maana hili suala nikalitupia humu. Najua si rahisi kupata, ila ninaweza kubahatisha connection ya watu kama hao humu, hatimae nikafanikiwa.
Tunduma kuna jamaa anafanya ishu za kuchukua body na magari yaliyokufa kutoka Zambia anaitwa Michael. Huyu ukimpa deal anaweza akakutafutia hiyo body na kukuvushia.
 
Dubai zipo.

Kuna kampuni wanaleta spare za magari yaliochinjwa dubai.
 
Njia ya Buguruni kama unaelekea Ilala kuna jamaa wameweka Body za L/Cruiser hao nadhani wanauza za kutoka Dubai unaweza kwenda kuwacheki kuhusu dege hilo la ardhini Y62.
 
Nanogesha uzi tuu..
Screenshot_2020-11-14-11-49-36-1.jpg
 
Mkuu nipe muda kidogo...kuna gari la jirani hapa lina match hilo gari lako, ngoja jamaa akijisahau nitalishughulikia. Naomba namba yako ya simu nitakutafuta.
Mzee Lowasa mwaka 2015 kwenye kampeni zake alinunua haya ma Nissan Patrol Y62 yalipiga kazi ya kuzunguka nchi nzima. Yana usajili wa namba T...CY.. ila ukikutana nalo lazima ugeuke bado yapo vizuri.

Mengine naona alishapunguza kwa kugawia wanae, sije mkuu ukawa ukahisi Mzee wa Monduli kayasahau mazima.
 
Back
Top Bottom