Hello!
Beach front plot for sale at Mbweni JKT, This is a must see and not to be missed opportunity to to have a direct access to lovely Mbweni sand beach...
Hello!
This plot is located in a very good neighborhood, a walking distance to the beach and has a small servant quarter.
=======================================================
Property ID: JF...
Hello!
Beach plot for sale at Mbweni JKT (just 100 meters from the ocean), its the second plot from the line of the plots facing the beach. This is a must see and not to be missed opportunity to...
Kwa anayehitaji Plots zilizopimwa Maeneo ya Bagamoyo zenye ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako tunaweza kuwasiliana.
Kwa sasa kuna plot inauzwa ipo karibu na mji wa bagamoyo (Ukuni) ni...
Hello!
Approximately half an acre plot stand for sale in Mbweni JKT . The plot is suitable for residential or commercial activities on the main road to Mbweni JKT. The neighborhood is good and...
Viwanja Vipya NHC Kigamboni Mwongozo Dongwe palm. square meter 750 adi 1600. Kilometer 17 toka ferry, nani mita 100 toka NHC housing pia ni mita 200 toka baharini. Bei ni 22,000 kwa sqm...
Kiwanja (Urefu 40m*25m)kipo sehemu ya makazi yaliyojengwa kisasa.Umeme na maji vipo.Umbali wa Km 1 kutoka Bagamoyo Road.Nyaraka zote za umiliki kutoka serikali ya mtaa zipo.Mimi si dalali ni...
Nyumba/kiwanja ukubwa ni sqm 750,
eneo ni tanki bovu mita mia hamsini kutoka barabara ya bagamoyo opposite na Massana hospital, documents zote muhimu zinapatikana na eneo linafaa kwa matumizi...
Ni shamba lililoko kwenye eneo linalokuwa kwa kasi kiuchumi linafaa kwa kilimo cha miti, matunda,ufugaji n.k, Liko jirani na Wakulima na wafugaji wakubwa wa Ihemi na ni jirani na barabara kubwa...
Viwanja kwa ajili ya ujenzi wa makazi na shughuli nyingine vinapatkana kwa ukubwa 20×2.
Bei: 2,300,000/= nafasi ya mazungumzo ipo kwa muhitaji wa kweli.
Contact: 0656 698232 Call or SMS..
Lipo Makongo nyuma ya chuo kikuu cha Dar es salama.panafaa kujenga shule, Apartment, hostel, Na pia kuna Nyumba ya vyumba 3 self nk bei 350ml maongezi yapo.mawasiliano 0715060183/0756060183
Kiwanja kipo jirani na Goba mjini ukubwa 40 kwa 50
Bei 35ml
Pako vizr pamejengwa kwa mpangilio mzuri mitaa ya kueleweka na njia nzr hadi kwenye plot.
Mawasiliano 0756060183/0715060183
Wanajamvi,
Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha
ukubwa wake ni 26 kwa 22
hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu.
Huduma kama maji, umeme na barabara vyote zinapatikana,
Mandhari murua unapata...
TANGAZO.
GEO PLAN DESIGN and LAND CONSULTANCY
Kampuni ya mipango miji inakutangazia viwanja vilivyopimwa kwa mujibu wa sheria za mipango miji wizara ya ardhi.
Viwanja viko kigamboni mbele ya...
Jamani Kiwanja chenye ukubwa wa Square meters 1000 na hati kinauzwa Gongo la mboto karibu na msikiti wa Markaz. Bei yake ni Sh. Milioni 30 na mazungumzo yapo.
Eneo linafaa kwa makazi au Biashara...
Kiwanja cha ukubwa wa 30/25 kipo maeneo ya goba karibu na shule ya precious,kimezungushiwa ukuta tayari,umeme upo,mashimo ya choo tayari na yameishajengewa.
Price milioni 22 ila maongezi yapo.
Ofa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.