Plot4Sale Kiwanja kinauzwa (Mbezi beach tanki bovu opposite Massana hospital)

Bia batta

Member
Aug 18, 2015
66
34
Nyumba/kiwanja ukubwa ni sqm 750,

eneo ni tanki bovu mita mia hamsini kutoka barabara ya bagamoyo opposite na Massana hospital, documents zote muhimu zinapatikana na eneo linafaa kwa matumizi yote yaani residential and commercial(suitable for offices, hotel, kumbi ya harusi, apartments...etc) price Tshs 200 milioni negotiations itafanyika kwa serious buyer.

kwa maelezo zaidi piga simu number 0713-480118.
 
Mnalipa kodi kiasi gani kwenye hela ulosema?

Je ,mmefanya valuation?

Hicho kiwanja si kina kesi mahakamani ama imeisha?

Na kabla ya kesi si kuna miradhi mahakamani ?

Hakuna ardhi ya bei hiyo hapo Massana,wacheni artificial hijacking of land price!
Hili suala dawa yake inakuja na lukuvi kishaandaa mswada wa ku stabilize bei za viwanja!
 
Mmmh hilo eneo mwezi mmoja uliopita si palikuwa kama Nungwi? Anyway huu sio wakati wa kununua viwanja for me.......a caveat anyway

Mbezi+Beach.patapicha.jpg
 
Pale palipo andikwa apauzwii, epuka matapeli. sasa panauzwa, tutakuamini vipi?
 
Actually, I wanted to say the samething yaani!

Btw, kiwanja chenyewe ndio hicho magari yamepaki.??
Mmmh hilo eneo mwezi mmoja uliopita si palikuwa kama Nungwi? Anyway huu sio wakati wa kununua viwanja for me.......a caveat anyway

Mbezi+Beach.patapicha.jpg
 
Mmmh hilo eneo mwezi mmoja uliopita si palikuwa kama Nungwi? Anyway huu sio wakati wa kununua viwanja for me.......a caveat anyway

Mbezi+Beach.patapicha.jpg
Hii picha yako sijaisoma, sehemu tajwa ipo kwa juu inaangaliana na Massana hospital pembeni ya barabara iendayo Goba......kama maji yatajaa kwenye hili eneo maana yake na hospital ya massana nayo itajaa maji coz ni sehemu zinazotizamana face to face.
 
Pale palipo andikwa apauzwii, epuka matapeli. sasa panauzwa, tutakuamini vipi?
Ungesoma maelezo vizuri, nimesema opposite yaani inatizamana na Massana na sio pembeni ya Massana, kiwanja kilicho pembeni ya massana ndicho kina mgogoro wa mirathi na kina hyo sign...Hiki mmiliki ni Luteni wa jeshi na kama uko interested unaweza kwenda kucheki na watu wa ardhi before taking further steps.
 
enzi za magufuli huwezi pata kwa hiyo hela
Miezi miwili iliyopita mtaa wa tatu toka hapo (yaani tanki bovu sokoni) kuna eneo limeuzwa 600m, no matter kama ni utawala wa commando John but still kuna watu wanatengeneza hela nying tu tena za halali so usiingie kwenye hii mikumbo ya watu wanaolalamika kuwa hali ni ngumu...hao walikuwa wapigaji so mirija imekatwa acha walalmike.
 
Mnalipa kodi kiasi gani kwenye hela ulosema?

Je ,mmefanya valuation?

Hicho kiwanja si kina kesi mahakamani ama imeisha?

Na kabla ya kesi si kuna miradhi mahakamani ?

Hakuna ardhi ya bei hiyo hapo Massana,wacheni artificial hijacking of land price!
Hili suala dawa yake inakuja na lukuvi kishaandaa mswada wa ku stabilize bei za viwanja!

Sema wewe kile kiwanja pale kuchafuchafu mil200!!! Na kule upande wa beach wauze kiasi gani???!!! Izo bei unapata upande wa beach karibu mara mbili Ya izo sqm
 
Naona screw za JPM zinazidi kitight, miezi saba iliyopita kiwanja kama hiki walikuwa wanataka US $530,000. Kwa mwendo huu ngoja niitunze Tsh 30m zangu si ajabu nikapata kiwanja kwenye posh neighborhood muda sio mrefu!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Sema wewe kile kiwanja pale kuchafuchafu mil200!!! Na kule upande wa beach wauze kiasi gani???!!! Izo bei unapata upande wa beach karibu mara mbili Ya izo sqm
Nipe hyo deal nikuletee kichwa kesho......nimeuza beach plot kurasini area about a month ago kwa 525mil, 800sqm sasa hcho cha mbezi kwa ukubwa unaotaja nipe hyo dili ndani ya muda mfupi tule commision mimi na wewe...!!
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Similar Discussions

Back
Top Bottom