Plot4Sale Viwanja NHC Kigamboni

Mar 31, 2016
44
6
Viwanja Vipya NHC Kigamboni Mwongozo Dongwe palm. square meter 750 adi 1600. Kilometer 17 toka ferry, nani mita 100 toka NHC housing pia ni mita 200 toka baharini. Bei ni 22,000 kwa sqm.

Wasiliana nasi simu no.0746224769
 
Hv kwanini nyinyi watumishi wa serikali mnapewa ardhi na serikali halafu mnauza? Mtajuta sana!!
 
Samahani,vipi kaviwezi kuja kuathiwa na new city project maana namesikia mradi utaanza soon
 
Huo mji wa Kigamboni new city kwani bado kuna mpango wa kuuendeleza? Na kama kuna mpango, unaishia wapi?
 
Huo mji wa Kigamboni new city kwani bado kuna mpango wa kuuendeleza? Na kama kuna mpango, unaishia wapi?

New city mpango uko pale pale wamepunguza speed ya watu kupandisha Bei ya Ardhi hali ilikuwa mbaya serikali imetizama mbali na wachache wali
Mkuu sq metre 22,000 nani kaidhinisha hii bei?

Nimeidhinisha Mimi ni eneo langu siyo Mali ya serikali.
 
New city mpango uko pale pale wamepunguza speed ya watu kupandisha Bei ya Ardhi hali ilikuwa mbaya serikali imetizama mbali na wachache wali

Nimeidhinisha Mimi ni eneo langu siyo Mali ya serikali.
Hivi unafahamu kama kuna bei elekezi ya ardhi inaypangwa na serikali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom