Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa Kigamboni

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
113
TANGAZO.
GEO PLAN DESIGN and LAND CONSULTANCY
Kampuni ya mipango miji inakutangazia viwanja vilivyopimwa kwa mujibu wa sheria za mipango miji wizara ya ardhi.
Viwanja viko kigamboni mbele ya kimbiji sehemu tatu tofauti.
1. KIMBIJI KWA CHALE
2. PUNA (YALE YALE PUNA)
3. KIMBIJI POTEA kama unaenda TUNDWI SONGANI

Kutoka ferry
1. Kimbiji kwa chale ni 43km viko karibu na bahari na chuo cha maafisa wa JKT vinauzwa kuanzia 10,000 to 15,000 kwa sqm
2. PUNA ni 46 km hivi viko karibu zaid na bahari vinauzwa kuanzia 12,000 hadi 30,000 kwa sqm
3. Potea hivi ni mbali na bahali na hivi ndio tunaviuza kuanzia 7,000-10,000 kwa sqm.

Viiwanja vinafikika kwa barabara kubwa na pia barabara za mitaa zimechongwa tayari umeme umeishapita.

Contact 0627911500 au 0714227532
 
Vipi kuhusu mode of payment? Unaweza kulipa kidogo kidogo?
[HASHTAG]#justAsking[/HASHTAG]
 
Hawa ndio wanafanya watu wajenge mabondeni, haiingii akirini sq moja uiuze kwa 10,000-15,000. kwa hesabu ya haraka haraka 40X40 ni 16M, 20X20 ni 4M, Kwa nini watu wasiuze groves waweze na wao kununua kiwanja cha 20x20. Kusema ukweli adui wa waTanzania ni mtanzania mwenyewe
 
Kajenge mabondeni ruksa
 
Ulitaka thamani ya ardhi dar iwe sawa na kilolo iringa?.
Hehehehehe bora kuwa kimya kama kitu huna ufahamu nacho
 
Mkuu mi nna viwanja mia viko kibada. Vinapakana na miradi ya maji wilaya ya temeke. Ni kilomita 13 kutoka feri. Vimepimwa na ukinunua unapata hati. @sqm = 25,000/- tuwasiliane kama utapata wateja wa pande hizo
 
Saragosa haina shida japo sisi hatufanyi udalali ni kampuni tunapima maeneo yetu na kuyauza.
So kwa kesi yako hiyo labda kwa makubaliano kabisa kuofisi!
 
Back
Top Bottom