Plot4Sale Ninauza kiwanja changu Goba

Pastor steven mdoe

Senior Member
Jan 13, 2016
113
34
Kiwanja kipo jirani na Goba mjini ukubwa 40 kwa 50
Bei 35ml
Pako vizr pamejengwa kwa mpangilio mzuri mitaa ya kueleweka na njia nzr hadi kwenye plot.
Mawasiliano 0756060183/0715060183
 
Kwanini ununue eneo lililotengwa kwa ajili ya shule, sehemu za wazi, makaburi, barabara, hospitali na sehemu nyinginezo ambazo hupaswi kujenga au kuendeleza? Je unamiliki eneo ambalo hujui kwenye mchoro wa mipango miji (Town planning drawing-TP) liko sehemu gani?
Karibu tukuchukulie details za eneo lako na ujijue kama uko salama kuendeleza au laa. Usije kujenga then baadae unaambiwa ni eneo la wazi au ni bondeni.
NiPM kama unahitaji huduma hii.
Asanteni sana.
 
Watu wengi wananunua maeneo bila kuangalia ramani ya mipango miji. Tuwe makini ili kuepuka hasara
 
Watu wengi wananunua maeneo bila kuangalia ramani ya mipango miji. Tuwe makini ili kuepuka hasara
Ni kweli kabisa mkuu. Last week nilikuwa Kivule nachukua coordinates za kiwanja cha mteja wangu fulani. Kwa bahati mbaya nilipokuja kukiangalia sehemu kilipo ni katikati ya eneo la shule. Bahati yake hakuwa amejenga.
 
mkuu kwa maeneo ambayo wizara ya ardhi wamepima wakasema bado hayajatolewa ramani ya mipango miji inakuwaje hapo?
 
mkuu kwa maeneo ambayo wizara ya ardhi wamepima wakasema bado hayajatolewa ramani ya mipango miji inakuwaje hapo?
Haiwezekani eneo kupimwa huku halina michoro ya mipango miji. Ila kuna uwezekano wa eneo kuwa limechukuliwa coordinates na zikaangaliwa na ikaonekana hilo eneo halijaandaliwa mchoro.
Sasa kwa eneo kama hilo huwa tunaliandalia mchoro ili wengine wote watakaokuja kumiliki viwanja wapimiwe kwa kufuata mchoro huo.
Nadhani nimekujibu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom