Alex Protase
Member
- May 27, 2016
- 38
- 10
Ni shamba lililoko kwenye eneo linalokuwa kwa kasi kiuchumi linafaa kwa kilimo cha miti, matunda,ufugaji n.k, Liko jirani na Wakulima na wafugaji wakubwa wa Ihemi na ni jirani na barabara kubwa iendayo Mbeya, bei ni Tshs 12M ( Laki 4 kwa Eka) tu maongezi yapo. Ni Km 35 kutoka Iringa Mjini, km 2 kutoka barabara kuu hadi shambani, shamba liko Iringa vijijini, kwa mawasiliano piga 0688186936/0753543236