Wakuu,
Nauza kiwanja chenye maelezo yafuatayo:
Nauza kiwanja chenye maelezo yafuatayo:
- Mahali: Mbutu, Kigamboni. Kilomita 24.5 toka feri.
- Ukubwa wa kiwanja: 700 SqM (Mita za eneo). Upana mita 20 na urefu mita 35.
- Bei: 10.5m (15,000/= kwa sqm 1)
- Maelezo mengine: Kiwanja kipo surveyed na imebaki kumilikishwa kwa maana ya kupata hati kwa mnunuzi kwa jina la mnunuzi. Kiwanja kipo kama mita 900 toka bahari ya Hindi.
- Mawasiliano: 0767 210 396.