Plot4Sale Nauza kiwanja 10,000,000 kipo Arusha

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,972
1,083
Wanajamvi,

Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha
ukubwa wake ni 26 kwa 22
hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu.

Huduma kama maji, umeme na barabara vyote zinapatikana,
Mandhari murua unapata mwonekano mzuri wa mlima Meru na Mlima Kilimanjaro kwa mbaali!

kwa melezo zaidi ni PM
au 0622004481
 
Wanajamvi,

Kwa wale wanahitaji kiwanja Arusha
ukubwa wake ni 26 kwa 22
hakina mgogoro wowote nahitaji pesa tu.
kwa melezo zaidi ni PM
au 0622004481

wewe huuzi kiwanja bali unauza ARUSHA isipokuwa sijaelewa inakuaje arusha ni ndogo hivyo??
 
Hapo akuna maji labda moshono au ngulelo
Haha hilo wasema wewe kwamba hakuna maji,

Maji yapo mengi tu kwa sasa twatumia line ya Jeshi pia pana project ya maji ya mahakama ya afrika itahudumia maeneo jirani kwamaana ya Kisongo Musa na Mateves.

Acha kupotosha watu, @moshivijini

Njiro pia hakuna maji na watu wamejaa,

Na siyo akuna ni Hakuna!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom