Plot4Sale Viwanja Bagamoyo vinauzwa

sniper05

Senior Member
Dec 11, 2014
101
49
Kwa anayehitaji Plots zilizopimwa Maeneo ya Bagamoyo zenye ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako tunaweza kuwasiliana.

Kwa sasa kuna plot inauzwa ipo karibu na mji wa bagamoyo (Ukuni) ni zaidi ya square metre 1,000

Unaweza kuni-PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Kwa anayehitaji Plots zilizopimwa Maeneo ya Bagamoyo zenye ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako tunaweza kuwasiliana.

Kwa sasa kuna plot inauzwa hipo karibu na mji wa bagamoyo (Ukuni) ni zaidi ya square mtre 1,000

Unaweza ku-PM kwa mawasiliano said I.
Eka moja ni shi ngapi mkuu??
Vipo mjini au vijijini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom