Bia batta
Member
- Aug 18, 2015
- 66
- 34
Kama haina maana kwako kaa pembeni tafadhali...!!
Ndo kawaida ya madalali uchwaraHaina maana kivipi ww unauzaje kitu bila bei hadi tukuambie
Ukifuatilia nimekuwa nikipost hizi issue muda mrefu sana, but kuna baadhi ya washika dau wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa na ku-criticizeNi vizuri kuweka bei wazi ili mtu akiamua kukupigia awe kashajipanga zaidi..
Labda kama kila mteja unataka kumpa bei yake tofauti hapo sawa endelea kuficha bei.
Ndo kawaida ya madalali uchwara
Poa. Kila la kheri.Ukifuatilia nimekuwa nikipost hizi issue muda mrefu sana, but kuna baadhi ya washika dau wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa na ku-criticize
Come on man, kama hauko interested stay away from this.
walio interested wameshakuja inbox na wengine wanapiga cm, so please achana na hz mambo mzee!!
Ni vizuri kuweka bei wazi ili mtu akiamua kukupigia awe kashajipanga zaidi..
Labda kama kila mteja unataka kumpa bei yake tofauti hapo sawa endelea kuficha bei.
Plot inauzwa,
ukubwa 840 sqm,
Kata ya Goba
mtaa: Tegeta A, sehemu tambarare.
Kwa maelezo zaidi tuchekiane kwenye number 0713480118...!!
Advise well noted and will act accordingly.For an Offer to qualify. Such offer must meet the following number of Test
1: Must be made willingly
2: The terms must be Clear and Certain.
3: It should be a firm and final Expression
You offer lacks characteristic feature #3.
Learn how to market yourself(The art of Marketing)
Kuna Mtu alishawahi kusema kuwa, umaarufu wa Migahawa ya HardRock na McDonald, sio kwamba wao wanajua kupika Bugger kushinda wengine; la hasha, Bali wamekubali kukaa Chini na kujifunza Sanaa ya Marketing.
Thanks. Napita tu. Usinichukie.