Wakuu heshima kwenu,
Kuna gari Nissan Caravan ya 2007 CC 2950 ya Diesel.(Engine Z30)
Hii gari ilikuwa inatumia lita 1 kwa km 9.
Sasa kuna mtu aliweka Petrol kuanzia hapo tatizo likaanza lita 1...
Habari wanaJF! Napenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale, nmeamua kuja na Uzi huu kuelezea zaid umuhimu wa kufunga CCTV cameras na network katika maofisi, Shule na majumbani.
CCTV CAMERA ni...
Wasalaam
Sisi ni shule Y. Tunahitaji wataalamu wa kudesign vitambulisho ili tupate kuwaandalia wanafunzi wetu.
Vigezo.
1. Viwe vigumu kama vile vya NIDA
2. Walao bei iwe nafuu
Kwa Majadiliano...
Shukrani za pekee kwa wale wote waliokubali kuwa sehemu ya Wapendwa Message Centre. Pamoja na appointment kuwa nyingi ninayo furaha kupata feedback nzuri kutoka kwenu wateja wetu kwa huduma...
Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo...
Habari.
Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500.
Note: iwe used.
Iwe Dar Pwani au Morogoro
Call/Whatsapp 0652494919
Anayetaka kujifunza Sub-tittles ili afanye kazi zake au kuuza kama ujuzi kupitia Freelancing.
Nafundisha uso kwa uso hapo hapo mpaka unaelewa
Nafundisha kwa 20,000 tu ndani ya siku moja...
Natafuta gari aina ya Vits napatikana Dodoma bei mil 3 Nichek what'sup 0758214251.Asante
Note: gari iwepo dodoma na bei nilioweka ni fixed haipandi haishuki .
Ni Nikon D5300 (Used) ambayo utapewa ikiwa na lens 2
Lens ya 18-55mm pamoja na Lens ya 50mm MANUAL PRIME LENS
Lakini pia utepewa na STAND nzuri BURE kabisa ambayo Dukani huuzwa kwa 150,000/=...
Je, umeomba adsense umenyimwa au una blog ya Kiswahili unahitaji ads?
Basi hapa umefika tunakusetia matangazo ya admob yanasoma kwenye site / blog na yanaonekana vizuri tu na unapiga mpunga kama...
𝗡𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗺𝗶𝗹𝗶𝗸𝗶 𝗘𝘅𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝗹 𝗸𝗲𝘆𝗯𝗼𝗮𝗿𝗱 𝘀𝗮𝘀𝗮
Kuwa na keyboard ya nje Kuna wakati inakupa uzoefu Bora wa kuandika au kutumia kuliko ile iliyopo kwenye laptop yako ( built-in keyboard).
Unajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.