Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania. Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta CHUMBA hapo Mbagala bei kuanzia 50000 hadi 70000, toi iwe ndani vipi nitapata?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika. Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau salama. Naomba kujua ni mtaa gani Kariakoo wanakouza baiskeli hasa hasa za watoto. Au kama sio Kariakoo, sehemu nyingine ambapo zinapatikana kirahisi. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Ninahitaji gari kati ya IST na Spacio. Budget yangu ni 7 Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
566 Views
We are NEW DOUBLE OCEAN LOGISTICS COMPANY LTD, a registered and licensed clearing and freight forwarding company in Tanzania. We provide cargo and car clearance from dar es salaam port and other...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Maelezo zaidi Engine 4D (33-35) Spring iwe juu Gari iwe kwenye hali nzuri. Bei 19m (negotiable kidogo) Check me pm
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina hadithi yangu ya kijasusi inayo enda kwa jina la ULIMWENGU WA WATU WABAYA, ni miongoni mwa hadithi bora sana kuwahi kuandikwa nchini Tanzania. Nicheki kwa namba 0621567672 WhatsApp au kupiga...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu aina ya spark 7 inauzwa sh. 165,000/= Ina miezi minne tu, Toka inuniliwe risiti IPO karibu sana 0783755971
0 Reactions
6 Replies
790 Views
Fahamu Cement zinazozalishwa Tanzania na ambazo zipo sokoni. Nitaeleza Kwa ufupi na sitaenda kitaalam kiundani Kwa faida ya wengi. Cement zipo za aina nyingi Tokana na, 1: Material...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
E-PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM (EPMS). 8 MODULES 1. Dispense 2. Products 3. Stocks 4. Purchase order 5. Users 6. Adjustment 7...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Habarini wakuu. Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja. Asanteni.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
DODOMA LANDLORD COMPANY(DLC) TUNAKULETEA HIZI HAPA APARTMENT NZURI ZINAUZWA. [emoji1485]mahali:-MICHESE DODOMA MJINI. MKABALA NA RELI YA SGR. [emoji1485]NYUMBA ZA KWANZA BAADA YA RESERVED ROAD...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
MABATI SOLD OUT BIASHARA IMESHA FANYIKA YAANI MABATI TAYARI YAMESHANUNULIWA NAWASHUKURU WOTE NA SAMAHANI KWA USUMBUFU, BIASHARA NAZOFANYA NO RONGO RONGO SIKU NYINGINE CHANGAMKA Mabati yanauzwa...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wakuu Mapambano ya kulijenga taifa yanaendelea... Naleta kwenu ombi la kupata eneo la kujenga mashine kwa ajili ya kusaga na kukoboa katika maeneo tajwa hapo juu yaani kuanzia Kimara...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Habarini ndugu jf , napenda kuwapa taarifa hii muhimu sana kwa kila mwanaharakati katika maisha yake, kama una ujenzi wako binafsi au shirirka au ujenzi wa aina wowote ule, basi kutana na mafundi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya picha nzuri, kali, murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom