INAUZWA Jipatie camera hii kwa bei ya hasara kabisa

Lazaro Samwel

Member
Apr 27, 2019
33
26
IMG_8219.jpg

IMG_8218.jpg

IMG_8220.jpg

IMG_8221.jpg



Ni Nikon D5300 (Used) ambayo utapewa ikiwa na lens 2

Lens ya 18-55mm pamoja na Lens ya 50mm MANUAL PRIME LENS

Lakini pia utepewa na STAND nzuri BURE kabisa ambayo Dukani huuzwa kwa 150,000/=

Upande wa Battery haikai na chaji sana lakini unaweza ibadilisha.

Nitakupa pia na chaji ya BATTERY

Camera hii nimeitumia mwenyewe kwenye shughuli zangu na haina shida kabisa pamoja na lens zake.

Inachukua picha nzuri sana lakini pia upande wa video ipo vizuri.

Unaweza itumia kibiashara,kiofisi kuepusha gharama zaidi lakini pia hata kwa matumizi ya kawaida itakufaa sana.

Nitakupa vyote hivi kwa 1,350,000/= ambayo ukisema uende dukani kununua camera hii pamoja na vifaa hivi inaweza kukugharimu zaidi ya 1,700,000/=

Epusha gharama zisizo na umuhimu na tuwasiliane INBOX sasa.

Bonyeza wa.me/255678010334

Au piga; 0678010334 / 0753616584

Hakuna punguzo zaidi kwa hapa.
 
Uko pande za wapi? Na hiyo betri yake dukani inauzwa bei gani? Kwa nini unaiuza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom