Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Crown Athlete Make:Toyota Year:2004 Mileage:Low Mileage Color: Pearl white Registration: DZL Asking Price: 13M Contact: +255 714036595 WhatsApp& Call
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Habadi z majukumu, Nauza mziki wa gari full kabisa, busta Watts 1,3000 Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja) Equlaizer Vyote Kwa pamoja nauza 800,000 Unachukua na kufunga...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco. Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama; 1. Kusambaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TECNO CX air SOKONI Ina creak kidogo kwa chin Bei 180k Contact 0755102030 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asalaam alaikum Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo . Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna . Kutoka barabara kuu ni meter 50 . Kiwanja kimepimwa na tayari...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
-kiwanja kipo kigamboni ,mjimwema kibugumo -umbali kutoka main road ( barabara kuu ya rami ni 800 meter. ( kituo shule ya msingi kibugumo karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya na mkurugenzi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari natafuta Internet service providers wazuri wenye speed kuanzia 20MBps na kuendelea wanaopatikana kimara. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Clean as NEW: Bei 1,000,000 Battery health 100% Storage 500GB Inapatikana Dar, Kwa mawasiliano piga +255 744 641 565 au +255 714 641 567
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Habari ndugu Nina shida na hizo machine za NMB na CRDB uwakala na laki tano cash(500,000/=) ambae yupo serious aje pm.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari! Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na...
7 Reactions
16 Replies
6K Views
Friji ni kubwa milango miwili Inagandisha vizuri, Haina tatizo lolote Mahali Goba njia 4
2 Reactions
8 Replies
943 Views
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT. Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu. Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Ninaomba msaada wa namna ya kuandika tangazo la upotevu wa cheti kwenye gazeti la serikali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
1 Reactions
0 Replies
685 Views
Wakuu, tunauza kuku wa nyama (broilers) kwa bei ya 6500. Tupo Kigamboni, Kibada. Mawasiliano: 0625082911
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom