Natron Ltd
Member
- Feb 11, 2016
- 56
- 18

Habari wanaJF! Napenda kuwapa pole kwa majukumu ya hapa na pale, nmeamua kuja na Uzi huu kuelezea zaid umuhimu wa kufunga CCTV cameras na network katika maofisi, Shule na majumbani.
CCTV CAMERA ni nini?
Hii ni kifupi cha neno CLOSED-CIRCUIT TELEVISION hizi ni kamera zinazotumika kwa ulinzi wa majumbani, ofisini, shuleni, kiwandani n.k.
Kwanini Tutumie CCTV camera?
Umuhimu wa kutumia hizi kamera ni kuwa huwa zinahifadhi matukio yaliyotokea nyuma kwa muda ambao isingekuwa rahisi mtu kuona kwa mfano ukiwa umefunga kwako na MTU akaja kuiba nyumbani kwako wakati haupo, ukiwa na hizi kamera utakachokifanya ni kwenda kwenye room ulioset TV zako na kuona matukio yote au kama unatumia wireless cameras unaweza kuona matukio popote pale ulipo ukiwa na smartphone yako au tablet.
Pia hizi utusaidia kuongeza kipato cha kampuni yako kwa mfano hii ikiwa imefungwa ofisini ni vigumu kwa wafanyakazi kukaa bila kifanya kazi wakiwa ofisni kwasababu watakuwa wanaogopa kuwa wanaonekana.Vilevile upunguza wizi kwenye viwanda, hotelini,labs, nyumbani, ofisini n.k.
Kutokana na umuhimu wa kuwa na ulinzi wa uhakika na wa kutosha katika makazi yako, kiwandani kwako, ofisini, shuleni, hotelini. Sisi kama Natron co. Ltd tunatoa punguzo ya ufungaji wa camera hizi kwa gharama nafuu zaidi. wasiliana nasi tunafunga kokote ndani ya Tanzania.
0656540271 au 0682220703