Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Kwa majina naitwa msafiri juma ni mtengenezaji wa mifumo mablimbali ya computer Leo hii nawalea mfumo wa dukani amabou unaweza kutumika popote bila shida Unafanida nying saana kwa...
1 Reactions
4 Replies
978 Views
Habari. Kama unaitaji pikipiki used za aina yoyote na kwa Bei unayoitaka tutakupatia tunapikipiki za aina zote. Tembelea Instagram @saantz_pikipiki_used Tupigie simu namba 0684998047 tukuhudumie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana Jf Fridge Von linauzwa Bei: Tshs 450,000/= Lipo Gongo la mboto Lina mwaka mmoja tangu lilinunuliwe Halijawahi kutengenezwa wala kujazwa gesi 0689 150 968 0625 557 395
0 Reactions
1 Replies
449 Views
Nawaomba ndugu kwa mara nyingine baada kukosa mwanzo Kwa nwenye PASI, JAGI ZA UMEME, BLENDER, heater na vifa vingine pia mfano wake mbovu natengeneza , nakufata hadi unapoishi bei haipungui...
1 Reactions
3 Replies
920 Views
Habari wadau. Nani anajua vizuri hizi airpods pro copy. Naona kila anaeuza zake zina utofauti tofauti. Sasa nashindwa kujua ipi ni bora kwa sasa. Naombeni ushauri wenu
1 Reactions
10 Replies
2K Views
SUZUKI SWIFT full doc'ments Vibal Gari haigongi Loc:Dar Bei mil: 3.5 Simu - 0678604333
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba Ina vyumba 4 vya kulala kimoja master jiko la ndani na nje, mabanda ya uwani mabanda ya Kuku,kisima Cha maji,na eneo la wazi,unaweza hata kujenga nyumba nyingine, karibu Kwa mazungumzo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Zenu Wakuu. Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu nahama nauza vifuatavyo Godoro inch 8 bei 140,000/- Jiko dogo la gesi ( linagesi ilijazwa wiki moja iliyopita) 25,000/- Feni 60Watts bei 25,000/- Tray ya vyombo ngazi nne bei 10,000/-...
2 Reactions
5 Replies
824 Views
Fekoni 150cc timing chain, Haina tatizo lolote ,Unawasha na kuondoka Matunzo mazuriiiii Vibali vyote vipo Safi Bei 1.1m 0658971481 Morogoro mjini
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba Ipo kigamboni geza. Kiwanja KIMEPIMWA na kina documents zote muhimu. kina sqm 542. Umbali kutoka barabara kuu ni mita 700 tu.. simu 0652180400
0 Reactions
3 Replies
546 Views
ASANTENI!! GUITAR LIMEUZWA TAYARI.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Je unahitaji mashine kwa kufanya biashara ya kuzalisha unga safi na bora wa sembe au dona na kusambaza kwa wateja wako wasiliana na Joel machinery manufacturing kwa ushauri wa kitaalam zaid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fridge Von lina mwaka mmoja tu Bei Tshs 450,000/= Lipo Gongo la mboto Unauziwa hadi makopo Juu linagandisha chini liaweka ubaridi Huwa haliwashwi mara kwa mara. 0689 150 968 0625 557 395
0 Reactions
7 Replies
850 Views
Unaweza pata elimu kuhusu mfuko huu kwa kutembelea ofisi zote za bakwata zilizopo nchi nzima
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Habari wakuu, Leo ningependa kuzungumzia machache kuhusu SME platform na namna unavyoweza kujipatia kipato ambacho kitaweza kukukwamua kwenye swala zima la kiuchumi. SME(Sharing Medical...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam kwa wote. Nauza kabati kubwa la vyombo (kama linayoonekana pichani). Bei ni shilingi 350,000/. Kabati limetumika lakini lipo kwenye hali nzuri sana. Pia nauza friji ndogo (kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
TUMA PICHA KWA NAMBA ZETU 0683557564 UKITUMA LEO UNAPATA LEO. TUNAPATIKANA KIMARA KOROGWE DSM SIZE : A4 -15,000 SIZE : A3 -25,000 SIZE : A2 -40,000 SIZE : A1 -65,000
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki ijayo ni birthday ya mpenzi wangu. Anapenda sana cake na chocolate. Naomba mnisaidie idea simple ya kumfikishia cake by surprise maana mimi nimesafiri ila nataka imfikie kwake makongo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, gari hizi mbili zinauzwa . Make: Mitsubishi fuso Body: Tipa Location: Dar Engine: zote mbili zina engine ya 6D17 Bei: hiyo ya njano ni 60M Hiyo ya Blue namba DM ni 75M. Gari...
0 Reactions
2 Replies
902 Views
Back
Top Bottom