Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

iPhone 7plain, 230,000/=...piga 0683007848
0 Reactions
0 Replies
369 Views
Habari Waungwana. Gari aina ya Toyota Grande Mark II. Gx 110 Inauzwa Ipo kimara Dar es salaam.Imechukuliwa🤝
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naombeni mnijuze huwa wanauza sh ngap? Maana huwa naona picha zao tu mtandaoni.
0 Reactions
62 Replies
17K Views
Heloo wakuu habari Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Nauza fridge kampuni ya Samsung Linagandisha vzr sana Contact: 0789572313 Location: Makongo juu Bei :350k Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
6 Replies
958 Views
JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO. ✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Heshima kwenu! Boma pichani linauzwa lipo Kichangani,Tanga mjini umbali wa takribani 15km toka katikati ya jiji la Tanga. Ukubwa wa eneo ni mita 15X20 Boma lina vyumba 7 vyote vina vyoo vyake...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA Inalipa na ujipatie punguzo la...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
inapoza na kugandisha. haina shida yoyote. pugu-Dampo Dar es salaam tupigie 0713096076 achana na comments. 245,000 Tshs only. Maongezi kidogo kuhusu usafiri yapo, only in Dar es salaam.
1 Reactions
4 Replies
720 Views
-Hizi hukinga kioo cha gari yako na athari za jua la moja kwa moja (direct sunlight) - Ulishaegesha gari mahali ukaingia na kukutana na joto la ajabu na la kukuunguza unapokaa kwenye siti...
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Wakuu kama heading inavyosema, ni buti ya mtoto wa kiume wa around miaka mitatu hadi mitano Ni vema akawa shabiki wa mabingwa wa NBC premier league kwa kua rangi zake zinasadifu kwa ukaribu...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa. Tshirts 16,000/- Trucksuits 28,000/- Pensi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Crown Athlete Make:Toyota Year:2004 Mileage:Low Mileage Color: Pearl white Registration: DZL Asking Price: 13M Contact: +255 714036595 WhatsApp& Call
1 Reactions
1 Replies
645 Views
Habadi z majukumu, Nauza mziki wa gari full kabisa, busta Watts 1,3000 Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja) Equlaizer Vyote Kwa pamoja nauza 800,000 Unachukua na kufunga...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Nahitaji msaada wa kufahamishwa sehemu wanapouza vifaa vya kutengenezea madirisha ya Aluminium kwa bei rafiki
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco. Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama; 1. Kusambaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
TECNO CX air SOKONI Ina creak kidogo kwa chin Bei 180k Contact 0755102030 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Asalaam alaikum Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo . Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna . Kutoka barabara kuu ni meter 50 . Kiwanja kimepimwa na tayari...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Back
Top Bottom