Unajua kwanini Utumie external keyboard

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—ก๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—ธ๐—ฒ๐˜†๐—ฏ๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ

Kuwa na keyboard ya nje Kuna wakati inakupa uzoefu Bora wa kuandika au kutumia kuliko ile iliyopo kwenye laptop yako ( built-in keyboard).

Unajua kwanini Utumie External keyboard

โ€ข ๐—œ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—๐—ผ๐˜๐—ผ ๐——๐—ผ๐—ด๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—จ๐—ป๐—ฎ ๐—ง๐˜†๐—ฝ๐—ฒ
ukitumia built in keyboard kama zile za laptops ukitumia kwa muda mrefu Kuna joto linatengenezwa kutoka na ukaribu wa vifaa vilivyokuwepo ndani hivyo ukitumia external utaondokana na hiyo changamoto

โ€ข ๐—ž๐˜‚๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜๐˜†๐—ฝ๐—ถ๐—ป๐—ด ๐—˜๐—ฟ๐—ฟ๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ
Unajua unapotumia built in keyboard za kwenye laptop huwa typing Errors zinakua nyingi kutokana na muundo wa keyboard kuwa karibu ila ukitumia external unaondokana na hayo matatizo

โ€ข ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐—ฎ๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ
utakua salama na afya yako kwa kuwa external keyboard inawezekana kwenda umbali wa 40cm hivyo ukiwa unamtumia unaondoka na matatizo ya mionzi inayotoka kwenye laptop au kompyuta yako

โ€ข ๐—š๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐—ธ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ถ
Alafu ni rahisi kusafishika ukitumia external keyboard kuliko iliyopo kwenye laptop maana ukikosea kidogo tu umeua mashine mzima

Gharama yake 12000/= tu

Tupigie sasa +255692630904 | +255765171270

Mikoani tunatuma warranty miezi sita karibuni
 
Picha basi.
Yasije yakawa yale makibodi mareefu hata kuliweka kwenye begi halienei
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom