Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji kununua gari aina tajwa hapo juu. Kama una aina yoyote kati ya hayo please pm. Budget 7m na naomba uwe mwenye gari na sio middle man.
0 Reactions
2 Replies
728 Views
TANGAZO: Shule huria ya Kijiji cha Nyuki Singida inakutangazia mafunzo ya mwezi ya kuanzisha na kusimamia manzuki, kuvuna na kuchakata, na masoko ya mazao na huduma za nyuki za nyuki yatakayoanza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau. Bajaji iyo inauzwa wakuu, Full vibal, tair mpya . Ruhusa kuja na fund kukagua mzigo huo, ml 4.300,000/= 0789 820122 Dar es salaam
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba kwa yoyote mwenye koneksheni ya frame ya biashara tuwasiliane. Mahitaji: Iwe maeneo ya kuanzia Mkuyuni hadi Buhongwa. Iwe maeneo yenye mzunguko mkubwa wa watu. Bei isiyozidi...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
5 litres kettle 0788622610 50,000Tsh
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Habari, Mimi ni Johnson Yesaya Mgelwa, mkurugenzi mtendaji Ishai Real Estate. Ishai Real Estate ni moja ya biashara chini ya kampuni inayoitwa Ishai Company Limited. Ishai Real Estate, ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum nahitaji Nahitaji cpa,tea na penal code vya kiswahili vinapatikana wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop hp 820g Core i5 HDD 500gb Ram 4gb Procesor 2.5 Batani mbili za chini hizo kwenye mouse now hazifanyi kazi Bei 300000 0689719676
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Za mchana wana JF, Kichwa cha habari kinajieleza. Bugget yangu ni 30mil. iwe ya namba E. Call 0759888018 for more details
2 Reactions
6 Replies
605 Views
Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello, nauza simu yangu google pixel 3a nimenunua mwezi uliopita 300000. Tarehe Moja/8 napata simu nyingine naiuza hii 200000. Unaweza lipa Kwa awamu 2. Nipo, Dar es salaam. WhatsApp 0689727165
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida, naomba udadavuzi wa hiyo pikipiki ikiwa mpya kabisa kuanzia bei ya dukani, usajili, bima n.k namaanisha kuanzia ununuzi wa hiyo pikpiki mpaka itakapoingia barabarani...
1 Reactions
23 Replies
40K Views
Tarehe 13 October 2022 nina send off ya bint yangu, nahitaji huduma ya min bus kama vile toyota coaster, Nissan civilian nk. Root itakuwa kutoka nyumbani Tabata kwa Swai saa 11.30 jioni kwenda...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii simu ni used ninaitumia mwenyewe. Ukubwa ni Gb 64 internal memory rangi ya gray ina crake nyuma ila kioo ni kizima kabisa. Nauza pamoja na ear buds Tsh 290,000 lakini kama unahitaji simu...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Habarini ndugu! Nmeamua kuja na vitabu vya sheria kwa lugha ya kiswahili kwa ajili ya kuongeza uelewa katika mambo mbalimbali ya maisha ya kila siku,katika kitabu hiki utapata ufafanuzi katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu wafanyabiashara na wajasiriamali ngoja niwape fursa kidogo ya kutangaza biashara zetu. Kwa wale wa matangazo ya ya kwenye spika yaani unakua unaplay eneo lako la biashara huku likitaja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samsung galaxy s10 Outer glass inauzwa TZS. 40,000/= Ni mpya kabisa.
0 Reactions
0 Replies
460 Views
Circuit board ya TV Inchi 43 PT430CT02 - 1 - C - 5 inauzwa. Bei TZS. 80,000/= Ni mpya kabisa.
1 Reactions
3 Replies
551 Views
Back
Top Bottom