Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuhusu Mwandishi; Robert Irwin Robert Irwin ni mwekezaji kwenye viwanja na nyumba. Irwin ni mbobezi, kocha, na mwandishi maarufu sana katika nchi ya Marekani. Irwin ametajwa kama mtaalamu namba...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona...
3 Reactions
490 Replies
66K Views
Wakuu habari zenu, Ninauza kiwanja - Size: Urefu FT 60 upana FT 105 - Kipo Kisemvule mtaa wa Machimbo Kidubwa, maarufu kama viwanja vya Ustadhi. - Nyaraka nlionayo ni "Offer", kimepimwa na...
0 Reactions
6 Replies
819 Views
habari wanajukwaa .. nauza redio yangu aina ya seapiano .. ipo katika hali nzuri sana .. ina sehemu ya flash pia ina rimoti yake ... bei tsh 120,000 location ..Moshi mjini mawasiliano 0715 194 611
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ps4 fat 1 pad moja version 9 kamili.... Full box. 650k Haina wala chochote ni mpya Ukiitaji nichek PM
0 Reactions
6 Replies
501 Views
Kwa mahitaji ya decoration za ndan Tv wall Gypsum design Wallpaper za ukutan Panel mbalimbali Karibu tukuhudumie tupo Dar es salaam Bugurun sheli popote tunakufikia Mawasiliano zaid Phone...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam. Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
Habari, nimenunua hili begi bado jipya ndio kwanza lina week moja kwaajiri ya kubebea Laptop yangu ila naona hii siyo aina yangu ya begi kabisa, nimezoea begi la mogongoni nimelishindwa...
1 Reactions
10 Replies
935 Views
Tunapoelekea kumaliza mwaka Kampuni ya simu ya TECNO tumetambua umuhimu wa msimu huu wa sikukuu na tumewaletea promotion kabambe kwa ajili ya wateja wetu wote ili waweze kumaliza mwaka na tabasamu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Nauza mihogo debe shilingi 8000/=. Napatikana Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma. Karibuni sana, ukichukua mzigo mkubwa utapata punguzo.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Temperature controler thermostat kifaa kwa ajili ya utotoleshaji wa mayai. UFANYAJI KAZI: kinacontrol temperature (halijoto) wakati wa utotoleshaji wa mayai ya Kuku Bata Kanga N.K ona...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari wasakaji wa ajira, Kuna CHIMBO LA kulala , maeneo ya Nyerere square, Karibu na msikiti wa Nungwi... Bei ni 13000/= ila vitanda viko viwili , mkiwa wawili mnachanga 6,500/=...
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Habar wapendwa naishi inchini Israel Jerusalem nimepata tender ya kuingiza evocado tani 20 kwa mwezi ndani ya mwaka 2023 mpaka 2024 so mwenye kuitaji kufanya pamoja hii biashara nawakaribisha...
1 Reactions
8 Replies
467 Views
Je wewe ni mzazi au mlezi na unamtoto ambaye yupo likizo katika msimu huu wa sikukuu za christimas na mwaka mpya? Au je wewe ni mwanafunzi na ungetamani kujipima na wanafunzi zaidi ya elfu2 nchi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunatafuta watu ambao watakuwa mawakala wa bidhaa yetu ya barakoa. Tuna kiwanda cha kuzalisha barakoa za upasuaji (surgical masks/medical masks). Hivyo kama unataka kuwekeza katika biashara hii...
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Nauza kifaa cha guitar kwa shilling elfu 30, kwa watumiaji wa guiter mtakuwa mnajua kinatumikaje. .
0 Reactions
5 Replies
617 Views
Karibu ujipatie kitabu chenye toleo la kwanza na la pili kwa pamoja kinachotoa mwongozo wa ufugaji wa ngurue kuanzia ujenzi wa mabanda, vipimo vyake mbegu sahihi ya kuanza nayo na hata uzalishaji...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Nauza camera cover kwa ajili ya kuzuia mvua au camera kuingia maji. unaweza shoot hata ukiwa ndani ya maji, mazingira ya maji au mvua ikiwa inanyesha. . Bei elfu 50 sawa na bure. .
0 Reactions
2 Replies
558 Views
Nauza toyota ist Gari ni yangu mwenyewe haida middle man Plate number Dpf Mawasiliano yangu 0674667123 Location posta mpya Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom