Udalali wa kimtandao, Real Estate

Jan 1, 2013
19
29
Habari, Mimi ni Johnson Yesaya Mgelwa, mkurugenzi mtendaji Ishai Real Estate.

Ishai Real Estate ni moja ya biashara chini ya kampuni inayoitwa Ishai Company Limited. Ishai Real Estate, ni biashara ya udalali ambayo inatumia zaidi tehama/teknolojia na mifumo ya kompyuta katika kuwakutanisha wauzaji na wanunuzi wa nyumba, viwanja, mashamba na mali zingine zisizohamishika.

Kupitia "Simu yako, Laptop, au kifaa chochote chenye internet" unaweza KUUZA, KUNUNUA au kupanga nyumba au chumba kupitia mtandao bila kukutana na dalali yeyote. Yote hayo unaweza kuyafanya kupitia tovuti yetu ya www.ishai.co.tz na App yetu ya Ishai Real Estate inayopatikana playstore.

Kama wewe ni mmiliki wa nyumba na unahitaji kuuza nyumba yako, piga picha nyumba au jengo lako na kisha ingia katika tovuti yetu inayopatikana kwa www.ishai.co.tz kisha juu kulia utaona neno post ad, hapo unaweza kuweka nyumba yako kwaajili ya mauzo. Hivyo hivyo kwa nyumba na vyumba vya kupangisha pamoja na mashamba.

Kwa watafutaji wa nyumba kwaajili ya kununua au kupanga, vyumba vya kupanga n.k wanatakiwa kuingia kwenye tovuti yetu ya www.ishai.co.tz na kutafuta aina ya mali wanayoitaka.

Lengo letu kuu ni kurahisisha zaidi namna watu wanavyoweza kupata makazi kwa urahisi zaidi bila madalali, yaani simu yako ndiyo dalali wako.

Tunapatikana katika mitandao yote ya kijamii

.Facebook. Ishai Real Estate
.Instagram. Ishai Real Estate
.Twitter. Ishai Real Estate
.YouTube. Ishai Real Estate
.Tiktok. Ishai Real Estate

Ofisi zetu zipo mikocheni Dar es-salaam
Tupigie /WhatsApp 0758218269 au 0628729934

Tovuti: www.ishai.co.tz
Ishai Real Estate Simu yako dalali wako .

IMG_20221004_103437_111.jpg
png_20221004_101042_0000.jpg
20221003_184357_0000.jpg
20221003_094728_0000.jpg
 
Back
Top Bottom