Zulia kali za 3d ni nzuri sana na ni special kwa ajili ya sitting room na hata bedroom
Ukubwa wake na size ni fut 7'12 kubwa mnoo
Bei ni 65000
Contact ni 0767626990 .
Huduma ya delivery...
Nauza airpod f9
Chaji zinakaa wiki na kuendelea
Powerbank yake inasehemu ya kuchajia simu
Base la maana
Imara
Rejareja 45000
Jumla 35000
Zipo pcs 15 tu
Tabata bima
0689719676
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema
Yapo kama gunia 3 za wastani wa kilo 100 @
Yapo nje kidogo ya dar ila kwa mwenye uhitaji ntamsafirishia hadi mbezi stand
Kwa anayehitaji ancheki:. 0783...
Tunauza computer za aina zote bei nafuu kuanzia 250k na kuendelea vhafuo lako tu, kwa mawasiliano ni 0714894219
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
Natengeneza Laini za Lipa kwa simu za Vodacom bure kabisa. Popote ulipo Tanzania unahudumiwa. Vigezo uwe na kitambulisho cha NIDA au Namba za nida. Mwenye uhitaji nicheck 0758381938
Tunachmba visima vya maji virefu kwa mikoa yote kwa elfu 60 mita morogoro
Tanga,bagamoyo mtwara lindi na pwani Dar 80 elfu
Iringa,dodoma,singida,tabora,mbeya manyara 90 elfu.
Shinyanga...
🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁
HIVI MPAKA SASA KUNA MTU HANA ANAHITAJI LAINI ZA UWAKALA NA BADO HAJAPATA USIJALI HUJACHELEWA NJOO NIKUHUDUMIE
🧰 HALOPESA
Masaa 12 Done✅
🧰 TIGOPESA
Masaa 12 Done✅
🧰 AIRTEL MONEY...
Mtenja serious
____________
KIWANJA KINAUZWA MBAGALA CHAMAZI MBANDE BEI 💵 M3.3 KULIPA KWA AWAMU MTAA UMETULIA UDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO MAJI UMEME YAPO
CONTACT US 0768041126...
Huu ni mziki wangu nilikua natumia nyumbani kwangu naamua kuuza maana nahama mji wiki ijayo SIFA ZAKE NI
- unatumia dc na ac yaani solar na umeme wa kawaida
- una bass...
Fremu inakodishwa Mbezi mwisho kutoka stand ya Magufuli, Mbezi high school. Ni Km. 1.5 kwa njia ya Mpiji na kutokea Luguruni ni Km. 1.
Fremu ina ukubwa wa Sqm. 115 ndani, inafaa kwa...
Kwema wananzengo?
Anaejua zinapopatikana hizi sabuni anielekeze, naomba na bei yake kwa jumla, ndogo na kubwa tafadhali. Sitaki rejareja!
Asanteni
Usiku mwema!
Wadau habarini za kazi. Bado natafuta wateja wa kamba za katani.
Na pia naombeni msaada kupata kufahamu kuna wachina kwa dar wananunua sana kamba za katani. Mwenye kufahamu hili naomba anipatie link.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.