Naomba kwa yoyote mwenye koneksheni ya frame ya biashara tuwasiliane

Siachi hela

Senior Member
Jun 17, 2022
136
248
Habari wadau, naomba kwa yoyote mwenye koneksheni ya frame ya biashara tuwasiliane.

Mahitaji:
  • Iwe maeneo ya kuanzia Mkuyuni hadi Buhongwa.
  • Iwe maeneo yenye mzunguko mkubwa wa watu.
  • Bei isiyozidi 100,000 kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom