Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari Wakuu, Nimebahatika kupata Tsh Milioni 1 nahitaji PS4 mbili ili nifungue kijiwe hapa home. Mwenye nazo anicheki PM basi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAYARI IMESHAKUA WEEKEND.....FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Wanahitajika vijana wanne 4, umri miaka 16-22, watakaa kwangu, (baada ya kufahamiana vema na wazazi/walezi wao) Watakuwa na kazi ya kuuza matunda kwa kutumia matoroli, baada ya mimi kuweka mtaji...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Nipo DSM. 0655173113
0 Reactions
1 Replies
428 Views
Currently zinacheza bei gani? Haswa kwa wakazi wa Dar na Mwanza.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Property Investors Company (PIC) inauza Viwanja vyenye sifa zifuatazo: [emoji736] Viwanja vipo Vigwaza Mkoa wa Pwani karibu na bandari kavu ya Kwala. [emoji736]Vipo umbali wa km6 toka Vigwaza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
0 Reactions
1 Replies
5K Views
🔴GATE MOTOR 💢Hii inaifanya Gate lako kuwa automatic, hautohitaji mtu kukufungulia wala kukufungia gate. Utaweza ku control Gate lako kwa kutumia remote tu hata ukiwa umbali wa mita 100 . 💢Gates...
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Plate 8 za 5kg Barbell ya 1.5 metres Bars ndogo mbili kwa ajili ya dumbbell Bei: 250,000 Zipo: Sinza Remy Mawasiliano: 0685661790
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina shida na machine hizi mbili kwa ajili ya ofisi ya uwakala, kwa yoyote ambae anauza au aliacha biashara hii na anahizo machine anisaidie tuwasiliane, ofisi ipo Korogwe Tanga...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Brand New tv Full HD 1 year warranty Double glass Free delivery in Dar Tupo Aggrey/Ndanda street. Price :350,000Tsh Call 0788622610
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Kwa wakazi wote mliopo Dar-es-salaam na Nje ya Dar hii n fursa Yenu sasa. Karibuni sana kwa CHIKAWE TAILORING MART TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:- [emoji419] Tunapokea Tenders zote zinazohusiana na...
2 Reactions
63 Replies
16K Views
Kama headline inavyojieleza hapo juu, gari inatakiwa atleast iwe na conditions nzuri haswa body. Offers zenu tafadhari, mkituma na picha itapendeza zaidi.
1 Reactions
0 Replies
746 Views
Kiwanja kinapatikana KITUNDA (mwisho) Umbali wa km 3.5 kutoka pugu road Umbali kutoka kitunda road (lami) meter 200 Unaweza kufanya project tofauti kulingana na Eneo na uhitaji wako. Mfano. (...
0 Reactions
215 Replies
43K Views
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri. Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe. 1. Tutakufundisha...
1 Reactions
4 Replies
774 Views
Pata sandals original ngozi kwa mawasiliano nitafute kwa 0758636009
0 Reactions
2 Replies
477 Views
Back
Top Bottom