Fursa kwa wenye TV za Mtandaoni na hata Redio

Anass Hamad

Member
Sep 30, 2022
9
7
Habari wana jukwaa,
Jina langu naitwa VOLDER BN BYJUKA. Mimi ni Freelancer Journalist, nimejikita hasa kwenye upande wa usimuliaji wa makala mbalimbali na simulizi za riwaya pia.

Nimefanya kazi na baadhi ya TV za mtandaoni (Online TV) kama vile Ananias Edgar TV, Uhai Tv/Radio, Tanganyika online TV, na Kenya nimefanya kazi na Mutembei Tv pamoja na Kenya news Alert Tv.

Kwa mtu yeyote anaemiliki chaneli ama Radio na anahitaji hiyo huduma ya masimulizi basi namkaribisha sana.

Mawasiliano yangu ni haya: +255 623 582 579
 
Umesomea au ni kipaji tu? kama umesomea na una vyeti wakati unaendelea kujitafuta, jisajili Taesa hawana mba mba mba wameconnect wengi kwenye taasisi mbalimbali
 
Hongera mkuu, nahisi nyie ni moja ya watu mnaofurahisi ajira zenu nje y kujipatia kipato.

Kongole kwako.
 
Back
Top Bottom