Plot4Sale Viwanja vilivyopimwa Misugusugu Kibaha

Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,504
5,707
Property Investors Company inauza Viwanja Misugusugu Kibaha vyenye sifa:
Ni Viwanja vizuri kwa makazi na biashara. Viwanja vimeshapimwa tayari,hivyo ni rahis kwako kupata hati.
Bei zetu kwa cash ni 8,000/SQM na kwa installment bei zetu ni 9,000/SQM.
Viwanja vyetu unaweza lipia cash ama kwa awamu.
Vipo Viwanja vya ukubwa mbalimbali.
Viwanja vipo umbali wa km3 kutoka Morogoro road.
Huduma za kijamii kama maji,umeme tayari vimeshafika site
Site tunaenda kila siku na hakuna gharama. Tuna Viwanja vingine maeneo ya Vikawe Kimele Baobab, Pangani Maili moja Kibaha, Vigwaza Kwala, Mbutu Kigamboni,Madale Mivumoni, Bunju A mji mpya, Cheka Kigamboni pia tuna Viwanja Dodoma maeneo ya Iyumbu, Chamwino Ikulu, Mtumba, Nala Chihoni,Nala Ringroad, Kitelela, Mahoma Makulu.
Ofisi zetu kwa Dar zipo nyuma ya Ubungo plaza na Dodoma tupo Capital City mall.
Call/SMS/WhatsApp: 0686601716
IMG-20221114-WA0001.jpg
IMG-20221114-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom