Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Nina shida na machine hizi mbili kwa ajili ya ofisi ya uwakala, kwa yoyote ambae anauza au aliacha biashara hii na anahizo machine anisaidie tuwasiliane, ofisi ipo Korogwe Tanga...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Brand New tv Full HD 1 year warranty Double glass Free delivery in Dar Tupo Aggrey/Ndanda street. Price :350,000Tsh Call 0788622610
0 Reactions
2 Replies
988 Views
Kwa wakazi wote mliopo Dar-es-salaam na Nje ya Dar hii n fursa Yenu sasa. Karibuni sana kwa CHIKAWE TAILORING MART TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:- [emoji419] Tunapokea Tenders zote zinazohusiana na...
2 Reactions
63 Replies
16K Views
Kama headline inavyojieleza hapo juu, gari inatakiwa atleast iwe na conditions nzuri haswa body. Offers zenu tafadhari, mkituma na picha itapendeza zaidi.
1 Reactions
0 Replies
744 Views
Kiwanja kinapatikana KITUNDA (mwisho) Umbali wa km 3.5 kutoka pugu road Umbali kutoka kitunda road (lami) meter 200 Unaweza kufanya project tofauti kulingana na Eneo na uhitaji wako. Mfano. (...
0 Reactions
215 Replies
42K Views
Nahitaji gari la kununua kutoka kwa mtu ambaye siyo dalali. Gari liwe kwenye hali nzuri kampuni ya toyota, bajeti yangu ni milion 3.5 . Kwa mawasiliano zaid tutaonana inbox kama kuna mtu anayo.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika kipindi ambacho technology iko Kasi pia fursa nyingi zinafunguka kwa vijana wanaoitaji kujiajiri. Saan agency tunakupa mafunzo yatakayo kufanya uweze kujiajiri mwenyewe. 1. Tutakufundisha...
1 Reactions
4 Replies
763 Views
Pata sandals original ngozi kwa mawasiliano nitafute kwa 0758636009
0 Reactions
2 Replies
470 Views
Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndg zangu tangazo linajieleza ninayo white cement kutoka uturuki mwagizaji ni mturuki mimi namuuzia unaweza kupata kiasi chochote unachohitaji, ujazo au uzito ni 40kg. Mzigo upo Dar es salaam njia...
0 Reactions
2 Replies
528 Views
Habari wakuu,wale wa Dodoma ninawaletea bedsofa 5 kwa 6 mpya kwa 175000 tu. Piga simu hapa 0624008133 mipango
0 Reactions
0 Replies
780 Views
4BEDROOM HOUSE DESIGN FIT 20X30M PLOT RAMANI + UJENZI CALL/WHATSUP +255624004650.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wakuu Kuna haya magodoro ya spring toka China nimeona yanauzwa kwenye moja ya magroup ya biashara whatsapp. Je, ubora wake ukoje kwa anaeyajua
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mashine ni nzima inapiga kazi...ipo Dar, bei ni laki mbili na nusu.
0 Reactions
2 Replies
627 Views
Pata laini ya tigo pesa mpesa na airtel kwa bei nzuri. Tigo pesa 260,000 Mpesa 160,000 Airtel 110,000 0712191251...blessed
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Naombeni ushauri namna ya kupata soko la kuku wa nyama Ninayo wengi sana naweza kutoa hata broiler 1000 kwa mwezi soko sina...0682696981 msaada.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jamani hii attachment inaonyesha bei elekezi za viwanja sehemu mbali mbali za Tanzania. Kwa hiyo wale waliozoea kuuza viwanja kwa bei wanazozijua wao, nadhani huu utakuwa muarobaini wao. Naona ni...
1 Reactions
16 Replies
19K Views
Back
Top Bottom