Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kuishi Kigoma Mjini

MTZ 255Dar

JF-Expert Member
Sep 25, 2018
1,114
3,768
Wadau,Naomba kujua Kama Kuna mtu au dalali ambaye anaweza kunisaidia nipate kiwanja Cha kujenga Nyumba ya kuishi kwa Bajeti ya Milioni 1.5 Hadi 2.5 Kigoma mjini. Kiwanja kinaweza kuwa hata nje ya mji lakini kiwe karibu na umeme,soko na maji.

Aksanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom