Mimi ni mmojawapo nimekosa kbs viatu ngozi vyakunitosha sema sitamani kurudi inbox kwani kuna mtu aliwahi kunichora baada ya kunijua akala kona,niliishi kwa hofu sanaKuna watu huwa wanapata changomoto ya kupata viatu vinavyo watosha.
Usihangaike tena, njoo inbox fasta.
Usihofu....Mimi ni mmojawapo nimekosa kbs viatu ngozi vyakunitosha sema sitamani kurudi inbox kwani kuna mtu aliwahi kunichora baada ya kunijua akala kona,niliishi kwa hofu sana
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Usihofu....
Mimi ni raia wa kawaida.
Mimi siyo Polisi
Mimi siyo Mjeda
Mimi siyo Afisa usalama wa Taifa.
Ukija inbox nitakuelekeza sehemu nilipo.
Zingatia mimi sio mfanyabiashara wa viatu, viatu ambavyo nauza ni hivyo kwenye picha tu, baada ya hapo business imeisha.
🤣🤣🤣Ishanitokeaga kipindi hicho napinga sanaa baadhi ya mitazamo ya viongozi wa serikali, ikiwemo kutania Jiwe kavuta, asa kumbe na mwenzangu alikua anahofu, kwahio wote ni kuliana timing, Jamaa yangj yy mpka akafungua ID mpya,Mimi ni mmojawapo nimekosa kbs viatu ngozi vyakunitosha sema sitamani kurudi inbox kwani kuna mtu aliwahi kunichora baada ya kunijua akala kona,niliishi kwa hofu sana
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Ishanitokeaga kipindi hicho napinga sanaa baadhi ya mitazamo ya viongozi wa serikali, ikiwemo kutania Jiwe kavuta, asa kumbe na mwenzangu alikua anahofu, kwahio wote ni kuliana timing, Jamaa yangj yy mpka akafungua ID mpya,
Baadaee ndio tukakutana kwenye utani, kila yule akafunguka.

hatari sana shee Upo mkoa gani bro,tuanzie hapoUsihofu....
Mimi ni raia wa kawaida.
Mimi siyo Polisi
Mimi siyo Mjeda
Mimi siyo Afisa usalama wa Taifa.
Ukija inbox nitakuelekeza sehemu nilipo.
Zingatia mimi sio mfanyabiashara wa viatu, viatu ambavyo nauza ni hivyo kwenye picha tu, baada ya hapo business imeisha.
Kumbe kuna mnaovaa hadi size 46? Duh you must be the tallest man eeh?Mimi ni mmojawapo nimekosa kbs viatu ngozi vyakunitosha sema sitamani kurudi inbox kwani kuna mtu aliwahi kunichora baada ya kunijua akala kona,niliishi kwa hofu sana
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Weka bei.Usihofu....
Mimi ni raia wa kawaida.
Mimi siyo Polisi
Mimi siyo Mjeda
Mimi siyo Afisa usalama wa Taifa.
Ukija inbox nitakuelekeza sehemu nilipo.
Zingatia mimi sio mfanyabiashara wa viatu, viatu ambavyo nauza ni hivyo kwenye picha tu, baada ya hapo business imeisha.
Not must to be tall.Kumbe kuna mnaovaa hadi size 46? Duh you must be the tallest man eeh?
Aisee hiyo bei tu mi hoi, vitu vyenu nyie si mchezo bei zake, 250 viatu tu? 😂 mimi napata furushi la viatu hapo na chenjiNot must to be tall.
In Dar hii aina ya viatu tunaipata Woolworth tu, na sio chini ya 250,000/=
Niliwahi kupata hiyo size Arusha Clerk kwa bei ya chini kidogo ya Woolworth
NA SISI WENYE MIGUU YA HIVYO HUWA TUNA MIGUU YA WATOTO ON 6*6Kumbe kuna mnaovaa hadi size 46? Duh you must be the tallest man eeh?
Intelligencia.Usihofu....
Mimi ni raia wa kawaida.
Mimi siyo Polisi
Mimi siyo Mjeda
Mimi siyo Afisa usalama wa Taifa.
Ukija inbox nitakuelekeza sehemu nilipo.
Zingatia mimi sio mfanyabiashara wa viatu, viatu ambavyo nauza ni hivyo kwenye picha tu, baada ya hapo business imeisha.
Kweli hayo ni mawazo yako tu...Intelligencia.
Kama ulifanya tukio ukaacha ukasahau kiatu sandals yako au soksi ,kwny eneo la tukio
Vinasaba huko vishatiki.
Atakamatwa mtu kiulaini sana.
Jamani nawaza tu kwa sauti sina nia ya kuogopesha watu wala kuharibu biashara ya mwenyewe.
Viatu vya aina gani hivi?Bei ni mteremko...
Tsh 40,000/=
Narudia tena Tsh 40,000/= na sio Tsh 250,000/=
Location
Mkoa: Dar es salaam
Wilaya: Kinondoni