Kwa nahitaji ya furniture za kitruki

Kwa nahitaji ya furniture za kitruki

Joined
Dec 9, 2022
Posts
22
Reaction score
6
Natengeneza furniture za manyumbani kama
Bedroom
tv showcase
Kitchen cabinets
Dressing table
Makabati ya nguo
Kwa material halisi ya kitruki
Whatsapp no 0747366800/0623705158
Tupo dar es salaam mbezi beach
IMG_20221204_183327_106.jpg
Screenshot_20221203-183934_1.jpg
Screenshot_20221203-183906_1.jpg
Screenshot_20221114-144831_1.jpg
IMG_20221110_160420_969.jpg
IMG-20221101-WA0000.jpg
21025db402a94d65b60feedf29647d1b.jpg
 
Natengeneza furniture za manyumbani kama
Bedroom
tv showcase
Kitchen cabinets
Dressing table
Makabati ya nguo
Kwa material halisi ya kitruki
Whatsapp no 0747366800/0623705158
Tupo dar es salaam mbezi beach View attachment 2441760View attachment 2441770View attachment 2441768View attachment 2441769View attachment 2441771View attachment 2441772View attachment 2441773

Safi Mkuu, kama hizo ni kazi zako hakika uko vizuri, Naomba picha za kitchen cabinets design tofauti tofauti ulizonazo na bei zake nina uhitaji nazo mkuu

Ziwe zile ndogo ndogo za kuhamishika tofauti na hizo za kufitisha jikoni kabisa
 
Kazi Nzuri,
Gharama hujaweka.
Mie nahitaji kitanda na meza ya ofisi.
Nipo Ushirombo
 
Kazi Nzuri,
Gharama hujaweka.
Mie nahitaji kitanda na meza ya ofisi.
Nipo Ushirombo
Kitanda Cha Tano 5x6 tunafanya laki 7 na nusu ila kwa meza sijajua unahitaji ya ukubwa Gani maana tunaangalia na ukubwa wa hiyo meza sq mita 1 ni laki 4 na nusu
 
Kitanda Cha 5x6 godoro la nchi 12 pamoja na bedside zake
Kwa material ya kitruki utajipatia kwa ml 1 na laki 4 tu [emoji120]
Kiwanda kipo mbezi beach dar es salaam
Tucheki Whatsapp 0747366800/0623705158
KARIBUNI SANA
57fde4ebb3594006a6cb08efef2e0d0d.jpg
 
Kwa muonekano mzuri wa sebure Yako jipatie tv showcase kari material kutoka uturuki 100%
Tupo mbezi beach dar es salaam kama unahitaji kuja showroom kwa ajili ya kuona viwango vya kazi zetu tunakukaribusha kwa Whatsapp no 0747366800/0623705158
Screenshot_20220823-221440_1.jpg
11ff560341e0465e938a28b4eab7a2e8.jpg
f5733020e5d04feaa284764e6f026293.jpg
Screenshot_20220715-001806_1.jpg
Screenshot_20220715-001647_1.jpg
Screenshot_20220809-072111_1.jpg
 
Safi Mkuu, kama hizo ni kazi zako hakika uko vizuri, Naomba picha za kitchen cabinets design tofauti tofauti ulizonazo na bei zake nina uhitaji nazo mkuu

Ziwe zile ndogo ndogo za kuhamishika tofauti na hizo za kufitisha jikoni kabisa
Sawa
IMG_20221204_183327_334.jpg
 
Back
Top Bottom