Natafuta pikipiki ya kutembelea

Natafuta pikipiki ya kutembelea

sink sink

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
14
Reaction score
5
Habari wakuu,

Natafuta pikipiki ya kutembelea, isiwe ya kuchaji, moja wapo kati ya hizo. Naombeni msaada kwa mwenye kujua mahari zinapouzwa nikajichagulie.

Natanguliza shukrani.

1eeced43c55d6ea81d505c37b05d3a57--passport-baskets.jpg
View attachment 2444632
 
Hzo Zanzibar ndio zipo nying na bei nafiu
 
Back
Top Bottom