Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ina vyumba vinne ikiwemo master (chumba kimoja kikubwa kimefungwa taa maalumu za kusomea), sitting na dinning jiko na store yake, public toilet, full tiles (jikoni na vyoo full hadi kuta)...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu salaam!Eee bwana nauza gari aina ya Coaster kama ifuatavyo! Model:HDB31 Aina:TOYOTA COASTER MODEL yake ni Box Body Engine type:1 HDT Year of Manufacturer 1990 Year of Ist Registration in...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ipo katika eneo zuri. (mwananyamala) Nyumba pamoja na eneo kubwa la kujenga nyumba nyengine. Bei maelewano. Ipo sinza jirani na flat za BOT. Bei poa Serious buyer tafadhali piga 0715 262 431
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mandazi ya kumimina(sina uhakika na jina) Huku nilipo sasa hivi vitafunio ni Toast,bacon,sausage and baked beans(english breakfast), hii imenishinda na...
0 Reactions
25 Replies
35K Views
Naomba msaada, nahitaji gari kwa ajili ya kwenda mkoani iwe imara na ikiwezekana nipate 4x4. Nahitaji kwa wiki moja tu. Kama itapatikana kuanzia Jumatano ijayo basi tuwasiliane kwenye PM yangu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi, nina cresta reg AWY ipo kwenye hali nzuri naiuza 7.2m millage 120000 model 1998 rangi ni cream (palewhite) ina alloy rims DVD radio, kama upo interested nipigie/nitext 0786 66 67 67.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
katika blog yangu mpya... roselyne26.blogspot.com Asante!:A S tongue::fish2:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali .Naomba msaada kwenye mambo ya fuatayo kuhusu Design ya Gazeti(Tabloid) 1 jinsi ya kuset vipimo vya gazeti(Tabloid) la kurasa kumi na sita 2.jinsi ya kuseti center pages. 3. jinsi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye Gari DCM TOYOTA(GOBOLE) ambalo ninatatembea au limesimama na bodi yake iwe haijachomwa bei 8M nataka kuanza biashara mbagala mwenge. au hata kama linatembea lipo barabarani, KWa upande wa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nyumba ni self contained vyumba 3 vya kulala, jiko na sebule sh. 9mil inaweza kupungua ipo mbezi juu karibu na baraza la mitihani ukitaka kuiona wasiliana na namba 0756626298.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Chumba kimoja kwenye nyumba ya vyumba sita vya wapangaji kinapangishwa eneo la sinza Block C walking distance toka Chuo Kikuu cha Da res salaam. Kodi ni shilingi za Tanzania hamsini elfu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo; Jana niliweka post kwamba tunahitaji msichana kufanya kazi za secretarial, nashukuru kwa maoni ya wadau kadhaa tumefanikiwa kumpata mtu. Kampuni yetu ni ndogo na ni mpya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF naomba kuelimishwa kidogo kuhusu bei ya magari katika mtandao wa Tradecar view kabla sijamnunulia dada/shemeji yenu, katika pitapita yangu ndani ya mtandao kuna kitu kimenishangaza sana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mambo vipi humu ndani? Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Nyumba inauzwa: Mahali: Yombo Buza - karibu na kituo cha kanisani Umbali: Mita 100 kutoka barabarani Ilivyo: Vyumba 2 na master bedroom, kitchen, sebule na stoo Mengineyo: imepigwa bati...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina Brand New Router naiuza, ni 1841 model a.k.a 18 series unaweza nipigia kupitia 0173 52 78 02 mda wowote karibu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la polisi mkoani hapa limelazimika kutumia mabomu ya machozi kwa ajili ya kumuokoa bibi Hadija Kabeya Saloom (70) aliyevamiwa na watu wapatao 50 wakitaka kumuua kwa tuhuma za uchawi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za hapa jukwaani wakuu, zinahitajika Camera mbili kubwa za digital ziwe either cannon au nikon mwenye nazo achangamke faster, mpya au used(in good condition)
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo. Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!! Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
4K Views
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.WASILIANA NASI .YAMELIPIWA USHURU,IMPORTED FROM JAPAN. 1.Toyota Gaia year 2001 Petrol Price 8M 2.Lande cruiser Prado Pearl II...
0 Reactions
34 Replies
17K Views
Back
Top Bottom