Camera zinahitajika

Mau

Senior Member
Apr 8, 2009
176
10
Habari za hapa jukwaani wakuu, zinahitajika Camera mbili kubwa za digital ziwe either cannon au nikon mwenye nazo achangamke faster, mpya au used(in good condition)
 
habari za hapa jukwaani wakuu, zinahitajika camera mbili kubwa za digital ziwe either cannon au nikon mwenye nazo achangamke faster, mpya au used(in good condition)

kuna very very very wide range ya cameras.........kuanzia bei hadi functions......please be specific sio unaletewa camera unasema bei hii siiwezi au hii ni ndogo......vilevile hujasema ni video camera au ndio unamaana camera ya kawaida kama tunavyozoea.
 
Niko ughaibu (Uchina). Nitarudi Bongo in 2 weeks time. Nipe email contact yako nitakutumia brochures yenye picha, specification na bei ili uchague ipi nikuletee.
 
Wabongo bana tangazo gani hilo lisilo na kichwa wala miguu na ndio maana mambo yanatushinda,hilo tangazo ni kama tangazo la Twiga simenti,unatakiwa utoe maelezo kama hiyo kamera ni kwa ajili ya picha still au video na unazihitaji kwa kazi gani ili hata anayekuletea aweze kukuletea kamera inayofaa kwa hiyo kazi kwa mfano je ni kwa ajiri ya hafla ya kuzaliwa mtoto au ni kwa ajili ya picha za documentary n.k si ajabu ndio maana Wakenya wanatupita kwa kila kitu,hata mtu unapotangaza kuwa jamaani eh nataka mtu alete glass kuna tenda lazima ueleze ni glass za aina ipi je ni za kunywea waini au biere au za kupimia njegele
 
Mkubwa, si watu binafsi, si makampuni makubwa (Voda wana tangazo la rates za zamani wakati washashusha bei nusu, can you believe that), sio vikampuni vya mom-and-pop, wote advertisement ni zilch. Ukipita upcountry road ya kati (Dar-Dodoma-Mwanza) njia nzima biashara ni moja, "Pata Asali Mbichi." I'm like, ok, what the cluckerfcuk is asali mbichi, and why is it better, never got the answer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom